Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha nne 2012 kwa sasa nipo dar es salaam na nina uwezo mkubwa katika kazi zote za mikono hasa za kubeba mizigo naombeni kama yupo anayeweza kunipatia ajira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anatakiwa mtu wa Marketing katika Training Company inayokuwa kwa haraka. Vigezo na masharti: Awe mchapa kazi, mbunifu na nidhamu ya juu ya kazi. Awe na uzoefu wa kufanya marketing angalau miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kuna wadau wawil wamepigiwa mda huu..tukae mkao wa kula
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Habari wana JF, Jamani wadau naomba mnisaidie kama kuna yeyote ambaye anafahamu salary packages za hawa jamaa wa Save the children International organisation maana kuna kazi yao moja hivi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama unahtaji Mwl wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar na kwa bei rahisi...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kwa kile kilichoo onekana muitikio ulivyo mkubwa wa kutoa ajira TRA wamenadi wataendelea kuita watu kwa ajili ya kufanyiwa usaili, hivyo watu waendelee kuwa na subira katika wakatii huu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam. Skills required: Drive and determination; be creative to marketing; good negotiating and interpersonal skills; a high standard of computer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama wakuuMfanyakazi au mtafuta kazi mwenye ujuzi na maswala ya Insurance anahitajikaTunahitaji mtu ambaye ana elimu ya mambo ya bima na uzoefu kias kuhusiana na maswala haya,Tafadhali kama una...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
"Ndg zangu nasikia nafasi za kujiunga na jeshi la police zimetoka, kwa yule yote anayefahamu vyeti vya kujiunga na jeshi hili naomba anisaidie" Naomben msaada jaman...!
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Kwa waliofanya oral interview UDOM mwezi March na April mwaka huu, kwa kada tofauti tofauti, Je watu wameshaitwa kazini? Mwenye taarifa naomba anijuze.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman mwenzenu nimeitwa kwenye interview UTUMISH na nimeona zaid ya watu mia nane hamsini waloitwa kwenye hiyo nafasi ambayo ilikua inahitaji watu watano mi nko Tunduma mnanishaurije niende au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Jana niliitwa kwenye usahili katika benki moja iliyopo 9th floor pale Harbor View towers ambapo raundi ya kwanza tulifanya ya kuandika na baada ya hapo wamesema watatuita kwaajili...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
eDigital Ltd is Hiring:Digital Marketing Executive We are looking for bright, driven and analytically minded graduate to become part of a fast growing team: Job Description A digital...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana jamvin kuna watu humu wana sumbua akili za watanzania tena wanaotafuta ajira anaandika nafasi ya kazi kisha anakwambia ni PM uki mu PM anakwambia nitumie namba yako au nitumie E mail...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Looking for a cashier. Must have book-keeping/ accounting background and at least A level Accounting knowledge. Candidate will have to provide strong referee. Please PM me if interested and...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari jamani mimi ni msichana nna degree ya uhasibu nahangaika sana kutafuta kazi kama mjuavyo hili ni janga la kitaifa naomba kama kuna yeyote anaweza nisaidia hata kazi ya kufagia mana duh hali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nasikitishwa sana na kipengere kimoja cha masharti kwa muombaji ajira zinazotangazwa na tume ya ajira kinachosema "Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
The World Food Programme (WFP) is currently looking for qualified candidates for the following positions: Post title: Programme Adviser – P5 Duty station: Ndjamena, Chad Applications...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani naombeni updates, kama mwezi wa tano tulitaza fom na kuandika barua za aplication za kujiunga na jesh la police tukiwa chuoni, vip jamani naona kimya,,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani mmi nimeskia kwenye redio juzi juma pili kuwa jeshi letu la police tena limetoa nafasi mpya kwa vijana wa kitanzania.nimejaribu kufuatilia nikaambiwa ziko kwenye net lakini kwa kila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom