Msaada jamani

Msaada jamani

Chiuja

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
84
Reaction score
24
Habari jamani mimi ni msichana nna degree ya uhasibu nahangaika sana kutafuta kazi kama mjuavyo hili ni janga la kitaifa naomba kama kuna yeyote anaweza nisaidia hata kazi ya kufagia mana duh hali ni mbaya maisha yamenigonga sana mwenzenu nna motto ananitegemea. nimeshazungusha sana CV nnachoambulia ni kulika soli za viatu tu kama kuna mtu mwenye msaada wa kazi yeyote anisaidie!!!!!!!! najua humu tupo watu tofauti wa matabaka tofauti so please jamani naomba mtumie ligha za kiungwana mana humo maofisini kwa wenzetu tunajibiwa hovyo sana kwa hiyo hapa iwe ni sehemu ya kutiana moyo na kupeana ushauri wowote.... my namba is 0763829304.
 
Naomba nikutie moyo dada angu. Usikate tamaa. Mungu yupo. Na anaona jitihada zako na kusikia kilio chako.
Mtumaini yeye naye atakujaalia kadri ya imani yako. Soma zaburi ya 23 yote ikutie nguvu na kukusukuma huku ukiomba kila siku na kujitamkia mabaraka katika maisha yako. Inawezekana na hakuna linalomshinda Mungu ukimuomba na kulipeleka kwake.
Kama unaamini hili kazi ushapata. Utaitwa kwa interview mda si mrefu na kazi itakuwa yako.
 
Ahsante kaka angu kwa kunitia moyo ubarikiwe sana....
 
Habari jamani mimi ni msichana nna degree ya uhasibu nahangaika sana kutafuta kazi kama mjuavyo hili ni janga la kitaifa naomba kama kuna yeyote anaweza nisaidia hata kazi ya kufagia mana duh hali ni mbaya maisha yamenigonga sana mwenzenu nna motto ananitegemea. nimeshazungusha sana CV nnachoambulia ni kulika soli za viatu tu kama kuna mtu mwenye msaada wa kazi yeyote anisaidie!!!!!!!! najua humu tupo watu tofauti wa matabaka tofauti so please jamani naomba mtumie ligha za kiungwana mana humo maofisini kwa wenzetu tunajibiwa hovyo sana kwa hiyo hapa iwe ni sehemu ya kutiana moyo na kupeana ushauri wowote.... my namba is 0763829304.
mi nashauri pia kaa chini edit cv,resumes and application latters kwa kuangalia best cv and resumes kwenye mitandao for best layout...
cv na resumes and application latters ambazo ni poor inaweza pia kukufanya mtu aka ku-undermine mapema...
lastly, badili mtazamo wako wakutafuta kazi...inawezekana unatafuta sehemu ambazo zina watu wao...
 
Poa ngoja niedit tena na tena!!!! sema hizi zaTRA nimeitwa kwa hiyo naomba mnisaidie kuniombea najua watu ni wengi sana ila ntajaribu najua ntafanikiwa.
 
mungu akubariki ukipata ucsahau kutupa feedback
 
Poa ngoja niedit tena na tena!!!! sema hizi zaTRA nimeitwa kwa hiyo naomba mnisaidie kuniombea najua watu ni wengi sana ila ntajaribu najua ntafanikiwa.

all the best,MWENYEZI MUNGU akuongoze na kukupa ushindi kwa interview zilizo mbele yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom