kiukweli hakuna anaebisha kuwa vijana wengiwa walio hitimu UDOM halikadhalika baadhi ya vyuo baadhi yetu topo mitaani na hata kujiajiri ajira binafsi nikitendawili, sasa tufanyeje tuweze kujiajiri...
Heshima mbele wakuu wote hapa jamvini.....
naomba msaada wa kujua ilipo ofisi ya Dour Tanzania Company Limited,ninachofahamu ni kwamba wapo mtaa wa samora ila sijui jengo ilipo hii ofisi...
Samahan jaman hv kwa wale waliofanya interview TCC tar 22 na 23 kuna walioitwa? na wale waliofanya mwezi wa saba vip kuna walioitwa fo further interview?
Salama wadau...vipi mwenye taarifa nafasi za Sumatra na National Housing zilizotangazwa mwezi wa saba kama wameshaitwa watu kwenye interview.....na TRA nafasi za Internal Investigation Officer...
Nimeokoa maisha ya mtu leo, amini Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajickiaje nikimpa elfu 30. Akasema atakufa kwa furaha! nikaondoka bila kumpa chochote.
Habari wanajamvi mm nipo mwanza nilisoma pcm na ninapenda sana hesabu kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa tatu ninapenda jitolea kurudisha mapenzi yangu katika wanafunzi kwa kujitolea kuwafundisha...
Hawa jamaa wa tanzania postal bank walipotoa zile nafasi za sales walisema wataita watu one week after the deadline ukiona kimya ujue your application is unsuccessful lkn naona mpaka leo kimya...
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA.
Ndugu Wakala,mfanyabiashara, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali,
Je unahitaji tili nyingine ya VODACOM MPESA? Kama jibu ni ndiyo, nitumie...
Salama wakuu,LENJEN Inapenda kuwatangazia kuwa tunahitaji Mageologist wawili na Mawelder wawili haraka iwezekanavyoTafadhali Kama wewe una vigezo kwa maana ya elimu Tuma cv haraka, uzoefu sio...
Nimeshutka sana leo bungeni kwenye mswada wa umwagiliaji! sheria inasema watakaochaguliwa kuendesha kanda za umwagiliaji ni lazima wawe senior public officer!!! wenye relevant qualifications...
Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya sayansi na elimu. Natafuta kazi ya kufundisha tuition centre yeyote kwa hapa dar es salaam. Ni pm kama una chance. Masomo biology na geography
Wana JF naombeni masaada wenu, nimehitimu chuo kikuu udsm, Bsc.ed masomo ya science na GPA 3.0, kiukwel hd muda huu sjapata hadi sehemu ya kujishikiza, kama barua nimeandika nying mno lakin...
Natafuta kijana wa kazi tajwa hapo juu,
Awe na uzoefu na hizo kazi...
Sehemu: Karume shaurimoyo,( Dar)
PM if interested au kama unamjua mtu anaetafuta kazi kama hizo,
Salary tutaongea... Sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.