Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Jaman mwenzenu nimeitwa kwenye interview UTUMISH na nimeona zaid ya watu mia nane hamsini waloitwa kwenye hiyo nafasi ambayo ilikua inahitaji watu watano mi nko Tunduma mnanishaurije niende au nipotezee tuu kwa wenye ufaham na UTUMISHI naomba nisaidiwe mana me ndo mara ya kwanza kuitwa na hawa jamaa sijawah fanya interview zao
 
nenda ukapambane kijana,usikate tamaa!
 
Mkuuu waweza kuta kati ya hao watano wanaohitajika wewe ni mmoja wapo. Utajuaje pasipo kuja na utakuwaje mmoja wao pasipo kufanyiwa intavyuu?
 
mi nadhan hao watano hawana doa kichwani wote mko kwnye challenge so nenda tu ukajaribu pengine ni bahati yako.....
 
Jaman mwenzenu nimeitwa kwenye interview UTUMISH na nimeona zaid ya watu mia nane hamsini waloitwa kwenye hiyo nafasi ambayo ilikua inahitaji watu watano mi nko Tunduma mnanishaurije niende au nipotezee tuu kwa wenye ufaham na UTUMISHI naomba nisaidiwe mana me ndo mara ya kwanza kuitwa na hawa jamaa sijawah fanya interview zao
Kama una sehemu umejishikiza bora upambane kivingine maana bwana watu 5 kati ya 500 ni kama shinda nyumba na Airtel yatosha
 
nipo tuu nyumbani so ngoja nkajaribu japo sijui utumish interview zao ziko fair or not mana gharama za interview dah hasa si wa mikoan
 
Mhh kaka kazi unayo lakini. Mi nashauri uache tu maana hauko tayari, ukishaanza kusema sijui niende au nadhani siwezi kufanikiwa basi hufanikiwi kiukweli. Inatakiwa ujiamini next time. Jijue kwamba pale kuna kazi yangu naenda kuichukua. Hii inatokana na vigezo vyako kama unaona haujafikia vigezo vyote ila unakaribia achana nayo tafuta kwingine.
 
Nakushauri uende kwenye hiyo interview. Licha ya nafasi ya kuipata hiyo kazi lakini pia utapata uzoefu wa kufanya interview na kukujengea kujiamini zaidi.

All the best.

NGO Jobs in Africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom