Nasikitishwa sana na kipengere kimoja cha masharti kwa muombaji ajira zinazotangazwa na tume ya ajira kinachosema "Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply".
Nina wasi wasi katika kulipanga hili tume haikuangalia kwa mapana, na kwa mtindo huo utakosesha fursa kwa raia wazuri tu kulitumikia taifa lao.
Kusema kweli watu huacha au huachishwa kazi kwa sababu nyingi, lakini baadhi ya watendaji wazuri kabisa huacha kazi sababu za kuonewa na kukandamizwa na mfumo wa ki-mangimeza, ufisadi na fikra mgando za baadhi ya watendaji waliokalia nafasi za juu.
Mi naona si haki kabisa kumnyima haki ya kutafuta nafasi nyingine ya kulitumikia taifa katika mazingira mengine mtendaji mzuri na ndiyo maana ya interview kujua kwa nini mtu aliacha ajira yake ya mwanzo.
Tume ya ajira wajaribu kuliangalia upya hili ikiwezekana tuliweke kwenye katiba ya Tanganyika.
Au mnasemaje wadau!