LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Salama wakuuMfanyakazi au mtafuta kazi mwenye ujuzi na maswala ya Insurance anahitajikaTunahitaji mtu ambaye ana elimu ya mambo ya bima na uzoefu kias kuhusiana na maswala haya,Tafadhali kama una uzoefu na mambo ya bima na elimu yakutosha kwa maana ya digrii moja na kuendelea tafadhali tuma CV yako mara moja au ya ndugu unayeamini ana uzoefu na maswala ya bima na claimsCV zitumwe info@lenjentz.com