TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!
 
Kila la kheri mkuu...ukivuta kitu uje hapa kutupa mrejesho!
 
Mwenyewe nimepigiwa cm ila huyo mdada anaongea haraka kwel kaniambia ni sabasaba hata cjasikia vizur sabasaba sehemu gani
 
Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!
Hongera bro, kuna namba imenipigia ya mezani nlikuwa mbali na simu, sasa napiga nambiwa inatumika kama dk 45 zimepita, namba walokupigia inaishia ngp?
 
Mwenyewe nimepigiwa cm ila huyo mdada anaongea haraka kwel kaniambia ni sabasaba hata cjasikia vizur sabasaba sehemu gani
Yap " PTA Hall" kasema utatumiwa email then uprint barua, bila hyo barua No Usahili! Hongera!
 
Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!

all the best mkubwa and all. ambao mmeshapigiwa daaah me naitolea macho tu simu yangu jamaa hata ku beep hawa beep ...... .......
 
msikae mbali na simu...wanaoitwa ni wengi so unaeza kuta week yote hii wanaita tu watu...me mwenyewe leo mepata email yenye barua bt sijapigiwa
 
Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!

jarib kuchek kweny spam folder
 
Mim mwenyewe nimepata e-mail ila simu bado hawajanipigia,pia email yao ukitaka kuifungua inakutaka pia utume read report kua umeipokea na umeisoma.
 
Back
Top Bottom