Kaka siku hizi internet inasaidia sana,kuna vitu vya kufanya unapokuwa unajiandaa na interview ukiachilia mbali maswali yatakayo husika na taaruma husika.
Kwanza nataka ujue kuwa unapoitwa kwenye interview maana yake wameridhika na wewe na wanahisi unaweza kufanya kazi.Je kwa nini unaulizwa maswali ambayo majibu yake yako kwenye CV yako?Hapa wanataka waone uwezo wako wa kujieleza(hapa ni muda wa kuprove "english excellent spoken and written",ujasiri wa kuongea mbele za watu hasa kama jopo lina watu zaidi ya wanne,je ulichokiandika kwenye cv na utakacho jibu kwenye oral vinaendana?(hapa kama ulikopi cv ya mshikaji ukasahau kuedit utakamatwa),so kuna vitu vingi vinaangaliwa unapofanyiwa oral interview.
unaweza ulizwa "why do you want to work with us? Au "what do you know about us/about this company?Hapa jibu lake nenda kwenye website yao kama ipo angalia about us,mission and vision utapata cha kuanzia.Kama kuna mtu anafanya kazi hapo na unajuana naye anaweza kukupa hints.
Swala la mshahara umesema kuna mtu amelielezea ,sijajua ameelwezeaje lakini kwa kuchangia hili ni gumu,litakuwa jepesi kama kuna mtu anajua mishahara yao ikoje then akupe hints na pia inategemea na experience yako na "what can you deliver for them in case wamekuajiri".
ushauri wangu usiweke mshahara mbele sana,iangalie hiyo kazi "Job description yake inakujenga kwenye proffesion yako?"Na je hiyo kazi itakuandaa na kazi zingine kwenye hiyo field yako?
Swali la "introduce yourself' soma haya maelezo kama yakikufaa tumia otherwise, I wish you all the best in your interview.
Search kwenye google "The Best Answers to Tough Interview Questions" unaweza pata kitu.
Tell me about yourself.
This is really more of a request than a question. But these few words can put you on the spot in a way no question can. Many quickly lose control of the interview during the most critical time- the first five minutes. This is not the time to go into a lengthy history or wander off in different directions. Your response should be focused and purposeful. Communicate a pattern of interests and skills that relate to the position in question. Consider your response to this question as a commercial that sells your autobiography. Provide an answer that includes information about where you grew up, where you went to school, your initial work experience, additional education and special training, where you are now, and what you intend to do next. One of the most effective ways to prepare for this question is to develop a 60-second biographic sketch that emphasizes a pattern of interests, skills, and accomplishments. Focus your response around a common theme related to your major interests and skills. Take, for example, the following response, which emphasizes computers.