Totoz
Member
- Jan 27, 2013
- 99
- 18
wana jamvin kuna watu humu wana sumbua akili za watanzania tena wanaotafuta ajira anaandika nafasi ya kazi kisha anakwambia ni PM uki mu PM anakwambia nitumie namba yako au nitumie E mail... Nimekutana na watu hao humu ndani nimewatumia lakini mpaka leo hawajanijibu kitu na bado wanaandika matangazo yao na kusema u PM hawa sio wakweli.