Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Kwa kile kilichoo onekana muitikio ulivyo mkubwa wa kutoa ajira TRA wamenadi wataendelea kuita watu kwa ajili ya kufanyiwa usaili, hivyo watu waendelee kuwa na subira katika wakatii huu wa kupigiwa simu na kutumiwa Email
ni habari njema kwa watu ambao hawaitwa
ni habari njema kwa watu ambao hawaitwa