nafasi mpya za police tanzania.

nafasi mpya za police tanzania.

kemaha

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
147
Reaction score
119
jamani mmi nimeskia kwenye redio juzi juma pili kuwa jeshi letu la police tena limetoa nafasi mpya kwa vijana wa kitanzania.nimejaribu kufuatilia nikaambiwa ziko kwenye net lakini kwa kila nikijalibu kufungua wananiambia kuwa limepitwa na wakati kwa hilo tangazo.sasa kama kunamtu anaweza kutusaidia sote watanzania juu ya hili atuelekeze vizuri ili tupate pa kuanzia kwa sasa.:help::help::help::help::help:
 
Yeah polisi wametoa nafasi mpya na nafasi hizo ni watu wenye ufundi tu kwa mfano fundi magari,fundi muash n.k kwa maelezo zaidi tembelea link yao
 
Kama wewe UVCCM utapata kirahisi lakini kama ni wa kawaida jiandae kwa mambo yetu yale ya rushwa vinginevyo hizo nafasi utaisjhia kuzitafuta kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom