Leo kuna watu tuliitwa pale LearnIT kufanya aptitude test kwa nafasi za kazi za Sales zilizotangazwa. Cha ajabu tukiwa pale mapokezi kuna mtu mmoja akatoka ofisini ndani na kuja pale tulipo...
Habari zenu wadau wa JF!
Ndugu zangu naomba tujuzane juu ya ajira za jeshi la magereza maana tumesikia ni mwezi huu sasa hata hatujui information zake zinapatikana wapi tusije shtuka mambo...
kwa mara nyingine narudi tena na fursa hii kwa vijana wanaoendelea kutafuta kazi: soma hii na zingatia vigezo:
there is job opportunity on transcription and translation. The exercise of...
Anatafutwa msichana/kijana mwenye uzoefu wa kazi za stationary na hasa awe na uwezo katika program zifuatazo:
1) M/s word 2) Excel 3) publisher 4) Access na 5) Adobe photoshop is added...
Wanajf kuna member humu jamvini kaitwa kwenye interview ya hawa jamaaa ktk post yao ya SCIENCE EDITOR, kwani walisharudisha feedback after that interview.Ahsante.
Huu ni mfano tu wa mtu graduate ambavyo ametuma email kuomba kazi somewhere, je kweli huyu mtu ukiwa wewe ni HR utamuelewaje? Post ni Programme Assistant.
I am very skilled in assisting in the...
Wakuu nipo hapa DTB harbour view posta ndio tunasubiri kuingia mmoja mmoja kwenye interview (3rd interview). Kwa kweli matumaini ni madogo sana kwani wapo jamaa ninao wafahamu ambao walifanya zote...
habari wana jf! kama wewe ni muhitaj wa vitu hivi katika stationary yako karibu sana! natengeneza kadi,maua,mataj,mabox ya zawadi kwa bei nzuri kwa mawasiliano piga namba 0687375768
Shule ya sekondari ya wasichana ya Lazeli iliyopo Kisongo Arusha inatangaza nafasi moja ya kazi ualimu kwa masomo ya biashara.
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
1. Awe na shahada au stashahada ya...
Habari wapendwa,
Je kuna mtu yeyote mwenye Updates za EWURA CCC??? Walitangaza nafasi za kazi mwezi uliopita wa 9 na deadline ilikuwa 27th sep.
Je wameshaita watu kwenye Interview...
HABARI!
MOYO BUSINESS NETWORKING AND INFO-CONSULT (MBUNIFU) inawaatangazia wamiliki, wakuu wa shule au vyuo mbalimbali kuwa tumeanzisha program ya kuwawezesha wazitangaze shule zao na au...
Wanahitajika data entrants wawili wawe na uwezo wa kutumia computer. Watatumia epi info kuingiza questionnaires 700 na wawe na uwezo wa kutumia hiyo program though watapata orientation.
Kila mmoja...
Iko hivi;
- Hakuna chochote cha kulipa
- Hakuna chochote cha kununua
- Hakuna chochote cha kuuza
- Ni bure kabisa
• Hapa unalipwa kwa kufanya yoote uliyozoea kufanya ukiwa internet, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.