MSAADA Email ya PCCB

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Jamani wanajf naomba mnisaidie Email hiyo maana nimejaribu kuitafuta cjafanikiwa kwani hata Website yao haifunguki.
 
unshida na nan? head kota au offc gan? anzia hapa:
The Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau
Urambo/Kalenga Street Junction Upanga
P O Box 4865
Dar es salaam Tanzania

dgeneral@pccb.go.tz
 
Huyu anataka kuonga,hata interview ujaitwa et wanalipa kias gan! Kumbuka hyo n pccb,honga upate pingu
 
Bandugu vip, hawa jamaa wako fair kwenye ajira maana Tanzania yetu wema wamebaki wachache sana hasa kwenye ajira full majanga.
 
Mkuu kwa maelezo ya tangazo hutakiwi
kutuma kwa e mail ukifanya hivyo utakuwa
nadhani kinyume na maelekezo yao.
 
guys, naomba mnijuze wanataka qualification zipi, na dedline coz nimetafuta kwenye website yao haifunguki please.
 
guys, naomba mnijuze wanataka qualification zipi, na dedline coz nimetafuta kwenye website yao haifunguki please.




Mkuu unahangaika na web site ya nini wakati
Tangazo lipo hapa jf long sana shuka chini
kuna uzi una tangazo lao
 
Back
Top Bottom