Anatafutwa msichana/kijana mwenye uzoefu wa kazi za stationary na hasa awe na uwezo katika program zifuatazo:
1) M/s word 2) Excel 3) publisher 4) Access na 5) Adobe photoshop is added advantage.
ofisi iko "Tabata"
Mwenye sifa hizo atume CV yake kupitia e-mail: castory1979@yahoo.com (CV haizipokelewi kwa mkono)
wanaokaa Tabata watapewa kipaumbele kwa ajili ya ukaribu. Kwa maelezo zaidi piga 0765 413120
Tahadhali: Ukijijua unatabia ya udokozi/wizi, usiombe nafasi hii, usije ukajutia maamuzi yako.