Wadau naomba mwenye details kuhusu diamites int. anambie please, ni nin na wanahusika na kazi gan, na malipo yao yakoje, maana nilitumiwa ujumbe niende kwenye majadiliano sinza mori na mim sipo...
Wanajf naomben kwa yeyote anayeweza kunifahamisha nafas ya kaz viwandani hata kubeba mizigo kupakia kwenye magar au kupanga bidhaa ghalan hata wakat wa usiku niko tayar. kiwanda chochote kile
Habari zenu wana JF. Nahitaji kujua utaratibu gani unatumiwa na Deloitte & Touche kwenye kutafuta waajariwa kwa ajili ya wateja wao. Kama umechaguliwa kwenye "short listed candidates", utaratibu...
Habari wana jf,
Mwenye taarifa juu ya usaili wa upolisi kwa upande wa graduate tunaomba atujuze kwamba ni lini wataita manake ishapita takriban miezi mitatu na bado tunaona kimya kimetanda.
JOB VACANCIES
Security Group, a leading Security firm with a presence in the East African Region invites applications from suitably qualified and experienced candidates for guarding. The place...
naomba kuuliza wakuu,kwa bahat mbaya sijapata taharifa yoyote ile juu ya written interview iliyo fanyika mnamo mwezi wa sita mwishoni kuelekea wa saba pale UBA.
kwa anae fahamu...
Natafuta mtu aliyesomea ufagaji hasa wa kuku na awe na uzoefu wa ufugaji kuku wa kisasa na kienyeji, wa mayai na nyama. Ufugaji utafanyika Dar, mshahara maelewano. Wasiliana na mimi kupitia 0784...
Ni sababu zipi zinazopelekea taasisi ya Serikali kuamua baadhi ya kazi kutangazwa moja kwa moja kwenye media, na sababu zipi zinapelekea kupitishia tangazo utumishi? Mfano: wiki yapata 1 iliyopita...
Habariini
Mimi ni MC mzuri sana, mwenye bashasha la kutosha la kuweza kuifanya sherehe yako kuwa
changamfu na kuvutia zaidi, hivyo usisite kuniita kwenye sherehe zako mbalimbali kama vile...
kwa mtu mwenye certificate ya risk and safety management.An pm ili nimpe mchongo wa kazi kuna mtu anahitaji sana,nitumie na namba yako ili nikuunganishe naye,Yeye yupo dar itakuwa ni bora zaidi...
Habar zenu wana jf.....am a new member to this site...naomba kuuliza swali kwa yeyote mwenye ufaham kuhusu tarehe ya kuita usahili TRA kwenye vacancy za internal auditors...zilizotangazwa 6 weeks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.