Nafasi za kazi EWURA CCC

Nafasi za kazi EWURA CCC

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari wapendwa,

Je kuna mtu yeyote mwenye Updates za EWURA CCC??? Walitangaza nafasi za kazi mwezi uliopita wa 9 na deadline ilikuwa 27th sep.

Je wameshaita watu kwenye Interview????

Shukrani...
 
Tungoje wahusika waje na data. Mi nikikumbuka tpdc walivyo kula bati tokea deadline june 27, sina hamu na hizi mambo za kusubiri.
 
Tungoje wahusika waje na data. Mi nikikumbuka tpdc walivyo kula bati tokea deadline june 27, sina hamu na hizi mambo za kusubiri.

Hahahahaaaaa...... Ina maana tangu June hawajaita watu kwenye Interview?????
 
Muwage wavumilivu, hauwezi jua mipango yao... wao ndio wahitaji
 
haya mambo ya ajira yanahitaji uvumilivu, na kua na subira pia kupambana pasipo kuchoka...
ama sivyo uwe mjasilia mali... maana haya mambo ya kazi nayo ni utumwa tu....

Asante mkuu, ngoja niwage mvumilivu...
 
TPDC wana miradi ambayo inategemea kuanza na inahitaji wafanyakazi wengi tu, so ni lazima mtaitwatu kufanya usaili kikubwa ni kua na subira. Mie ni mmoja ya nilio ombaga pale, ila sinaga uvumilivu nisha temana nao... na hata contact zangu nilibadili, maana haya mambo unakua unaishi kwa ma hope sana ambayo yapo mikononi mwa watu.

Kweli chal kama kuna mtu anataarifa zozote atujuze basi.
 
TPDC wana miradi ambayo inategemea kuanza na inahitaji wafanyakazi wengi tu, so ni lazima mtaitwatu kufanya usaili kikubwa ni kua na subira. Mie ni mmoja ya nilio ombaga pale, ila sinaga uvumilivu nisha temana nao... na hata contact zangu nilibadili, maana haya mambo unakua unaishi kwa ma hope sana ambayo yapo mikononi mwa watu.

Baba, rudi tuendelee kuwangoja TPDC...
 
Kwa taarifa nilizozipata leo toka kwa mtu mmoja wa pale ni kwamba bado hawajaita watu kwenye Interview! So .tuwe wavumilivu wapendwa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom