Wadau habari zenu,ktk utafiti wangu mdogo nilio ufanya nimegundua hawa mawakala wa ajira wapo zaidi ya 30. wateja wao ambao ni makampuni binafsi yanayotoa ajira(walio ingia nao mikataba) si wengi...
Nikiwa mpiganaji NA mpambanaji ninayechukia kuajiriwa na mpenda kujiajili kwa kiwango kikubwa, naomba ushauri wenu wenye mapenzi mema katika harakati za kukusanya hukuu na kule nimejituma kwa...
Kama na wewe unaomba omba kazi kama mimi bila kuangalia jina la kampuni, ebu angalia hii website Home | Ardhi Plan Ltd wametoa majina yakuitwa kwenye interview..kama kuna mtu anaijua jua hii...
jaman naomben mnijuze juu ya hii kampun inayoitwa touch down likizo iko karibu na office ya UNESCO kuwa inashughulika na nini nimeitwa kweny interview upande wa sales executive
Natafuta mabinti wawili wasafi (Nadhifu) ambao watakuwa wanasambaza bidhaa maofisini mara baada ya kupokea odder.
Elimu: Kidato cha nne.
Umri: Miaka 18-30
Mshahara: utakuwa mzuru wenye bonasi...
Habari zenu wadau; nimeleta uzi huu ili nipate kufahamishwa zaidi.Hivi ni vyuo vyote hutowa academic certificates mwezi wa 3 au mwezi wa 4,na Transcipts mwezi wa 11 ??? kama chuo cha SAUT kinavyo...
Wana jamii ,
namalizia jitihada za kuitafuta diploma ya civil engineeri at (must) mwezi wa nane,
kama kuna kampun inahtaji technician
naomba mnifahamishe ili niaply.
Ni tatizo sugu sasa limekuwa kwa upande wa ajira hii ndiyo imekuwa kasumba kwa baadhi vijana kubeba vimemo kama ndiyo gate pass na utambulisho wao. kwa hii tabia nchi inaendelea kukosa nguvu kazi...
NAFASI ZA KAZI E-GOVERNMENT AGENCYASSISTANT DIRECTOR - LEGAL SERVICES, ASSISTANT DIRECTOR e-GOVERNMENT NETWORKS ASSISTANT DIRECTOR - CONSULTANCY AND ADVISORY SERVICESDEADLINE : 15TH OCTOBER...
Tunahitaji operator mwenye uzoefu wa kuendesha vijiko,kijiko tulicho nacho ni "3DX Super Backhoe Loader 4WD Gross Engine Power 92hp Standard GP Shovel Capacity 1.1cum Travel speed 40kph (25mph)...
Kijana mwenye kiwango cha Diploma ya IT anatafuta kazi kwa muda wa usiku kuanzia saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi ili aweze kujiimarisha kielimu.
Ana uzoefu wa Udereva kwa muda wa miaka 5...
Vp wanajf nadhani mu wazima kwani Mungu aliye hai yupo pamoja nac
Jamani vp Open University wameshaanza kuita watu kwa ajili ya Interview kwenye nafasi za kazi mbalimbali walizozitoa Juzi ambapo...
wadau leo nimekutana na mtu ambaye ni mfanyakazi wa bandari amenipa baadhi ya njia ambazo watu hutumia katika kutafuta ajira..nilizipenda sana nikaona nizilete hapa.....njia zifuatazo.....
1.ku...
habari zenu wana jf.
Anatafutwa mtaalamu wa kusuka nywele wanawake mitindo yote.
Sifa zake
Awe mwanamume
Awe na umri uzsiozidi miaka isiyozidi thelathini
Awe tayari tayari kuishi Singida...
Jamani, naamini JF ni kitovu cha fikra. Naombeni wenye kujua wanisaidie ni wapi pana mazingira mazuri ya kazi au wapi pazuri kati ya JWTZ na USALAMA WA TAIFA ???
Ahsanteni-NAWASILISHA.
habari zenu wana jf.
Anatafutwa mtaalamu wa kusuka nywele wanawake mitindo yote.
Sifa zake
Awe mwanamume
Awe na umri uzsiozidi miaka isiyozidi thelathini
Awe tayari tayari kuishi Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.