Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Naomba kuuliza waliofanya usahili ardhplan vp kuna watu wameitwa Kwenye usahili wa pili(oral) especially town planner and technical service manager?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NDUGU ZANGU WATZ FANYA HIMA JIFUNZENI KIFARANSA CHA HARAKA HARAKA MKAFANYE KAZI GABON. HASA VIJANA WA VIJIWENI, MAANA HAPA AJIRA ZIMEANZA KUCHUKULIWA NA WAFUNGWA TOKA NCHI NYINGINE! GABON KUNA...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Watu wengine wanalalamika juu ya kushindwa kupost kitu humu so ingekua vizur tungepata japo kaelimu kidogo
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu, Swali hili huwa linanisumbuwa kupata jibu lake. Mwajiri anakuambia tumekubali maombi yako ya kazi lakini tungependa kusikia kutoka kwako ungependa au unatarajia tutakuwa tunakulipa...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Wadau wale waliomba TPC nafasi za internal auditors wameanza kuita kwa kutuma email, siku ya written interview pale DUCE itakuwa 19 october.Kila la kheri wadau
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye taarifa zao vipi washaita kwa ajili ya interview au bado.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari. msaada wananchi mwenye kujua written interview ya posta maswali yao yanakuaje naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Salamu ndugu mimi ni electrical engineer ni mwaajiriwa kituo ni dar .. nachukua nafasi hii kwa yeyote yule mwenye uwezo wa kushare na mimi hasa muda wangu wikiend na masaa baada ya kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji civil engineering technician (highway engineering)kwa muda wa mwezi 2 haraka sana.mshahara na mambo mengine tutazungumza,ila awe tayari kukaa site kwa muda wote wa project,awe na leseni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman hvi hakuna sheria ya kuwashitaki wababaishaji katika ajira? hawa udom wananikera sana. kuna interview zilifanyika tangu mwez wa tatu lakini hadi leo hakuna majibu pia nakumbuka kipindi cha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi zile ajira za tpdc mpaka leo hawajaita watu, au ilikua ni ushahidi tu
0 Reactions
6 Replies
4K Views
PROFESSIONAL PROFILE I am a qualified security guard with a wealth of experience and knowledge of door management and operations. Having worked in many different sectors from Office...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Are you a form four + leaver, Did you pass maths, Are you between 20-35yrs? You have added advantage if have basic computer knowledge (Word, Excel), Experience on managing store could help, but...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kila tangazo la kazi linalotolewa na tume ya ajira(psrs) wanasema vyeti viwe certified. Tatzo langu ni hili,kuna kazi zilizotangazwa juzi tarehe 1.10 nimeomba mojawapo.ila vyeti vyangu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Closed
Sometimes huwa nafikiria kwamba I can be useful kwa nchi yangu hasa katika sector hii ya intelligence,huwa natamani sana kufanya kazi na hii taasisi TISS.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I am looking for a qualified electrician to service an equipment also change my sign boards light bulbs as well as analyze voltage on the electric lines.Please email me...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Habari za sasa wakuu. Napenda kuandika post hii si kutangaza nafasi ya kazi wala kuomba ajira, ningependa tu kuongea kidogo na hawa walio katika katika ajira. Ila ata wewe mwenzangu na mimi...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani Naomba kuuliza kama kuna yoyote alieitwa kwenye interview ya weight bridge operator Tanroads Morogoro!mwenye taarifa naomba anifahamishe plz!! :help:
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Za saa hizi wana jf,naomba msaada wenu wa idea ya biashara ya kufanya ambayo haitahitaji usimamizi mkali kwani mimi ni mwanachuo nipo mwaka wa mwisho hapo ifm.Nina mtaji wa shilingi milioni moja...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
hata mimi kabla ya kufanya kazi hii, nilihangaika sana kama wewe, kakini sasa hivi nipo naenjoy maisha. karibu nawewe ujiunge pamoja namimi. sio uongo, ni biashara ya uhakika kwenye internet...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom