kwel kk kitaa pachungusubir wadau waje kukupa infor
Habari zenu wadau wa JF!
Ndugu zangu naomba tujuzane juu ya ajira za jeshi la magereza maana tumesikia ni mwezi huu sasa hata hatujui information zake zinapatikana wapi tusije shtuka mambo yamekwisha kwahiyo wadau tupashane habari.
Asanteni!!!!!