Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanabodi naomba kufahamishwa au kuelimishwa kuhusu nafasi ya wakala katika bank ya NMB. Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa wakala katika bank ya NMB ana kazi zipi na analipwa kiasi gani? Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu kwa wale wanaotafuta kazi, kazi ni kazi bora mkono uende kinywani jaribuni hii website wanasaidia sana. BigCashJob.com Earn 10$ for every 1 minute Task. Internet Job
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAFASI MPYA ZA KAZI MWANANCHI COMMUNICATION LTD MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 4/1/2014 BOFYA HAPA KUZIANGALIA NA JINSI YA KUTUMA MAOMBI
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau toka nimeanza kusoma magazeti nakupita mitandaoni sijaona vodacom,airtell au tigo wakitangaza kazi na ndio makampuni yanayopokea zawadi ya mwajiri bora. je kazi zinatangazwa kiundugu au?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salamu zangu kwenu wana jukwaa. Nimehitimu Diploma ya Business Administration mwaka 2010. Mpaka leo hii ni miaka mitatu nipo mtaan. Nimeomba vibarua sana hata nafasi ya kujitolea sijafanikiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau habari za jioni, Mimi. Ndugu yenu ni mjasiriamali ambaaye kuna vitu vinanitatiza. Ila natumaini hapa nitapatiwa majibu au njia ya kupita. Nimefungua kampuni yangu ya IT Home lakini tangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fellows at Global Health Corps, Rwanda - DEADLINE: 26/01/2014 Our mission is to mobilize a global community of emerging leaders to build the movement for health equity. We are building a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Job Purpose:To develop, maintain and increase a solidly dependable client base, to sell advertising space and provide an effective service to clients so as to maximize advertising sales volumes...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
SOURCE : DAILY NEWS , DEC 24 , 2013 - OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE JOBS DEC 2013 - SENIOR MEDICAL OFFICER III - NURSING OFFICER III - HEALTH ATTENDANT III - SENIOR LEGAL OFFICER - SOCIAL...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
NAFASI MPYA ZA KAZI SBC TANZANIA LTD(PEPSI) MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 6/1/2014 1.CR-Cum Driver (Mbeya) –(Six Posts) SBC Tanzania limited (PEPSI) Area: Mbeya Position Description: SBC Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
habarini za asubuhi. napenda kuuliza mwenye taarifa za nmb kanda ya kaskazini km washaita kwenye interview nafas walizotangaza tangu mwezi wa kumi. natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hii position ina salary ya ngap?msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, Naomba kama kuna mtu humu anakazi yeyote kati ya zifuatazo naomba anifahamishe kwani nina uhitaji mkubwa wa kazi.... 1. Kama utahitaji mtu wa records management katika kampuni au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za saa hizi waugwana nina gari langu aina ya noah ya silver na iko kwenye hali nzuri sana pamoja ainakimbia zaidi ya kilomita laki 1 anaetaji ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tangazo hilo limetolewa leo na mkuu wa wilaya ya Ileje ,,,, wilaya hiyo ikiwa imepewa nafasi 9 tu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
CRS Tanzania Country Program Vacancy CRS seeks a qualified Administration Assistant who will be based in Dar es Salaam. The agency provides equal employment opportunity regardless of age, race...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani hivi hawa mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania kunani jamani utaratibu wao wa ajira mbona ausomeki nishatuma maombi zaidi ya mara mbili lakini sijawahi kuona waki shortlist kwa ajili ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
To see More job goto: KenyaForums- kenyans priority Dynamic People Consulting is recruiting a Key Accounts - On Trade Manager for Pernod Ricard Kenya, a global competitor in wines and spirits...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
http://m.youtube.com/watch?v=1lq87lVcVPE&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3D1lq87lVcVPE Inbox me in gimmie3@live.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom