Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

House Keeper SUNDHINE GROUP LTD Awe amesomea fani ya House Keeping katika chuo kinachojulikana Cooker SUNSHINE GROUP LTD Awe amesomea mapishi katika chuo kinachotambulika Pia kama umesomea mambo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mwenye taarifa lini data entry ya nida inaanza lin anijulishe
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habari wanajamvi.nimepata kazi kampuni moja la kibinafsi ,na gross yangu ni sh 800,000(before tax).je baada ya kukata nssf na makato mengine ntapata ngapi hapo wadau.naomba mnijuze
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kujulishwa kuhusu usaili wa written nhif uliofanyka kule ukumbi wa baraza la maaskofu kurasini walishaitwa kwenye oral? manake ni kamda kamepita tokea usaili huo ufanyike. Mtu unaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Malimu mwenye uwezo wa kufundisha kifaransa katika shule za english medium anatafutwa.kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami.au tuma maombi yako email- rugumba2joseph@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Morning fellaz,natafuta nafasi ya kazi ya librarian nimemaliza diploma ya librarianship SUA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Am Currently working with one of the NGOs Here in Tanzania as an accountant. I have have over five years Experience as an Accountant. I do have a Bachelor Degree but Currently pursuing my...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
THE OFFICE OF THE WHO REPRESENTATIVE IN TANZANIA ANNOUNCES THE FOLLOWING VACANCY. The Mission of WHO is the attainment by all people of the highest possible level of health POSITION...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je unatumia nokia asha na inakusumbua katka kutumia kwenye mtandao Pilipili Print Solutons Tunauwezo wa kusolv tatizo lako kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa 0718888656 0752507004 Tupo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wanajamii naomba kujuzwa kama kuna mtu anatarifa za interview ya maongezi baada ya zile za kuandika
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A part-time pharmacist (registered by pharmacy council of Tanzania) is urgently required for supervision of a newly established pharmacy in Dar es salaam. Interested candidates please contact us...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow wanajamii Forum mtu yeyote aliyekuwa tayari kufanya kazi Ngara(In Kabanga Nickel Mining) na mwenye sifa asome tangazo hilo.Sorry hilo tangazo nimetumiwa likiwa limegeuzwa.Read and Apply...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kupata ufafanuzi mzuri wa maswali yangu ya mwanzo naomba kuuliza swali lifuatalo kama Hivi huchukua mda gani katika sekretariti ya ajira toka usaili hadi kutangazwa matokeo ya usaili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAUNGWANA NAOMBA MSAADA WENU, NAJARIBU KUFUNGUA HII DUCUMENT ILA KILA NIKIFUFUNGUA NAAMBIWA FILE ERROR. NAOMBA MNISAIDIE KULIFUNGUA THEN KAMA UTAFANIKIWA UNIWEKEE HUMU. FILE LIPO KWENYE...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Mwenye taarifa kuhusu matokeo ya interview ya pili ya IT Officers ya CRDB anijulishe tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili? kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndg kwa wanao jua naomba wanijulshe referee ana play role gan kwa mwajr. kwan waajr weng wanahtaj hii kitu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
mimi ni mmojawapo niliyepata kazi ya senzanaomba kuuliza kazi ya rejesta ya makazi kwa ajili ya nida ni lini naona mda unazidi kusogea nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Position summary: Reporting directly to the I-TECH Tanzania Deputy Country Director for Operations, the Finance Director will be responsible for management and oversight of all financial...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
The International Rescue Committee (IRC) responds to the world’s worst humanitarian crises and helps people to survive and rebuild their lives. Founded in 1933 at the request of Albert...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom