Nmb nmb nmb

Nmb nmb nmb

Morick

Senior Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
114
Reaction score
17
Wanabodi naomba kufahamishwa au kuelimishwa kuhusu nafasi ya wakala katika bank ya NMB. Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa wakala katika bank ya NMB ana kazi zipi na analipwa kiasi gani?
Naomba kuwasilisha. ASANTENI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom