Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

Mtuflani

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
323
195
Ndugu zangu,

Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.

Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.

Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.
 
Summahha

Member
Dec 16, 2013
6
0

Hongera sana na ahsante kwa kutupa moyo sisi ambao bado tupo mawindoni. Mungu akutangulie katika majukumu hayo mapya.
 
BIMBILISAMAJI

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
291
0
Ndugu zangu,

Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.

Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.

Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.
Safii sana kijana, Hongera na usisahau kutoa sadaka kwa Mungu wako...:smile-big:
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,451
2,000
Oya Mtuflani kwanza kwema? Najua wewe ndio mara ya mwisho hii kukuona katika ili jukwaa. Utaamia majukwaa mengineyo likiwemo la MMU.

Ombi letu la Mwisho.

Hapa wengi wao/wetu ni graduates. Hatuna uzoefu ma hizi mambo. Ebu tupe sample ya vitu vifuatavyo hapa vilivyokutoa hadi UTUMISHI wakakuita japo interview.

1. CV yako. (Maana kuna jamaa anauza Software ya CV, hataki kukopesha. Ebu tupe wewe Free Sample yako).

2. Ulivoji-express kwenye Cover Letter.

Tupatie sample tu, hatuna haja na jina lako wala other personal details.
 
Last edited by a moderator:

Mtuflani

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
323
195
Hivi sisi tuliopita hadi mchujo wa mwosho lakini hatukufanikiwa kuitwa,,huwa wanatufikiria namna gani?? kwa wenye ujuzi na aya mambo mtuabalishe.

Niliwahi kusikia kwa mdau humu kwamba mnaingizwa kwenye database then mnakuwa na priority ya kuitwa kwenye interview. Though sina info zaidi.
 
Mafuluto

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,770
2,000
Graduate wa level gani (sekondari za kata au) hujui kuandika CV au cover letter ?

Oya Mtuflani kwanza kwema? Najua wewe ndio mara ya mwisho hii kukuona katika ili jukwaa. Utaamia majukwaa mengineyo likiwemo la MMU.

Ombi letu la Mwisho.

Hapa wengi wao/wetu ni graduates. Hatuna uzoefu ma hizi mambo. Ebu tupe sample ya vitu vifuatavyo hapa vilivyokutoa hadi UTUMISHI wakakuita japo interview.

1. CV yako. (Maana kuna jamaa anauza Software ya CV, hataki kukopesha. Ebu tupe wewe Free Sample yako).

2. Ulivoji-express kwenye Cover Letter.

Tupatie sample tu, hatuna haja na jina lako wala other personal details.
 
Mtuflani

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
323
195
Oya Mtuflani kwanza kwema? Najua wewe ndio mara ya mwisho hii kukuona katika ili jukwaa. Utaamia majukwaa mengineyo likiwemo la MMU.

Ombi letu la Mwisho.

Hapa wengi wao/wetu ni graduates. Hatuna uzoefu ma hizi mambo. Ebu tupe sample ya vitu vifuatavyo hapa vilivyokutoa hadi UTUMISHI wakakuita japo interview.

1. CV yako. (Maana kuna jamaa anauza Software ya CV, hataki kukopesha. Ebu tupe wewe Free Sample yako).

2. Ulivoji-express kwenye Cover Letter.

Tupatie sample tu, hatuna haja na jina lako wala other personal details.

Mkuu me ntaendelea kuwepo hapa jukwaani coz nna mengi ya kujifunza hapa sababu hili jukwaa lina waajiriwa wengi tu. Kuhusu CV yangu ni kwamba ina parts zifuatazo: personal details, education, work experience ambapo me ni graduate na nmemaliza mwaka huu but kuna kampuni nilifanya part time kwa mwaka mmoja na pia nmeweka na internships zangu nilizofanya katika kampuni mbili nyingine kwa miezi mitatu kila moja ambapo mara ya mwisho nilimaliza internship mwez October mwaka huu. Pia kunafuatiwa na part ya leadership experience ambapo nmeorodhesha nafasi mbalimbali za uongozi nilzopitia nikiwa chuo japo sio lazma kama hukua kiongozi.Then kuna part ya Trainings mbalimbali. Nafinally referees. But remember kwenye work experience usiishie kumention tu ulipofanya kazi but weka na duties na responsibilities ulizokuwa nazo hata kama ni field au internship. Jambo la muhimu kuliko yote ni kuomba na kuamini kwamba daima MUNGU anakuwazia mema.Hope umenipata.
 
Last edited by a moderator:

muxin

Senior Member
Apr 4, 2012
175
225
asanteni sn wana jukwaa kwa kumtia moyo ndugu yetu japokua awali sikupata kushiriki posti zake. Kijana nakushkuru na we pia kwa kuthamini mchango wa JF Ktk maisha ako na mungu azid kubariki sn. Amen!
 
muxin

Senior Member
Apr 4, 2012
175
225
asanteni sn wana jukwaa kwa kumtia moyo ndugu yetu japokua awali sikupata kushiriki posti zake. Kijana nakushkuru na we pia kwa kuthamini mchango wa JF Ktk maisha ako na mungu azid kubariki sn. Sema Amen!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom