Tcaa ajira ajira ..

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
Jamani hivi hawa mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania kunani jamani utaratibu wao wa ajira mbona ausomeki nishatuma maombi zaidi ya mara mbili lakini sijawahi kuona waki shortlist kwa ajili ya interview yaani inakua kimya kimya
 
May be zile slogan zao za... "Only shortlisted candidates will be contacted..."
 
Pale ukabila umechukua nafasi mkuu. Si unajua mambo ya mamlaka tena. Kila k2 wanajiamulia wenyewe. Sasa hapo usiombe ukutane na makabila wanaojiona wao ndio wamesoma sana.
 
Pale ukabila umechukua nafasi mkuu. Si unajua mambo ya mamlaka tena. Kila k2 wanajiamulia wenyewe. Sasa hapo usiombe ukutane na makabila wanaojiona wao ndio wamesoma sana.

Hakuna cha ukabila wala nini,shida kubwa kwa ajira za TZ ni Kujuana na sana sana watoto wa wakubwa katka nchi hii ndiyo wenye haki ya kuajiliwa serikali,wengine wenzangu na mimi TUSUBIRI HURUMA YA MUNGU TU.
 
Usikate tamaaa mm nina rafiki yangu yupo training hpo amepata ile post ya assistant information officer dar es salaam airport ni kuomba mungu bla kuchoka

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom