JKT Watangaza wanaotaka kujiunga na jeshi

Dj chisu

Member
Dec 6, 2013
10
0
Tangazo hilo limetolewa leo na mkuu wa wilaya ya Ileje ,,,, wilaya hiyo ikiwa imepewa nafasi 9 tu
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,036
2,000
makubwa na majanga yake hayo 9 hao ni watoto wa Dc na familia yake.
 
Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,409
2,000
makubwa na majanga yake hayo 9 hao ni watoto wa Dc na familia yake.

Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa?
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,140
2,000
Mimi huwa siwaelewi watu wa humu ndani. Mda fulani unakuta wanaiponda jkt sana tu leo wametoa nafasi 9 mnasema ni chache hivi kweli watz tunajielewa?

maisha yashakuwa magumu acha tujichanganye humo humo
 
Dj chisu

Member
Dec 6, 2013
10
0
Kuhusu vigezo nitafuatilia leo then nita post hapa hapa kwani alivisoma kwa haraka2 na tangazo halijabandikwa bado.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom