Msaada tafadhari

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
195
Ndugu wana jf,
Naomba kama kuna mtu humu anakazi yeyote kati ya zifuatazo naomba anifahamishe kwani nina uhitaji mkubwa wa kazi....

1. Kama utahitaji mtu wa records management katika kampuni au shirika lako.

2. Kama una workshop ya sofa,mimi nifundi na ninaexperience ya kutosha.
Mfano. (picha hapo chini)

3. Napamba kumbi za sherehe (decoration)

4. Nina uzoefu wa kuuza fenicha katika show room kubwa na ndogo.

5. Nina uzoefu wa kuuza duka la nguo.

NB: Elimu yangu ni kidato cha nne with certificate of Records Management.

Mwenye swali niko tayar kulijibu
 
Attachments

  • 1387647587441.jpg
    File size
    75.6 KB
    Views
    170

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
ndugu yangu we ni mbunifu nishaona tangazo lako sehemu nyingine ntakuombea mtegemee Mungu soon utapata kaz na utafanikiwa sana kwa sababu ukati tamaa ila ukipata kaz jaribu kujiendeleza kielimu maana elimu yako bado ata kadegree cyo mbaya.goodluck
 
isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
134
225
Maisha yangu kielimu ni yakuunga unga tangu sekondari hadi hapa nilipo,
Vi barua vidogo vidogo ndivyo navitegemea hivyo ndio maana najitahidi kuomba vikazi kazi ili tu niweze kufikia malengo yangu ya kielimu na maisha kwa ujumla.

Tafadhari naomba mwenye uwezo wa kunisaidia kivyovyote afanye hivyo nitashukuru sana.
 
makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
195
ndugu yangu we ni mbunifu nishaona tangazo lako sehemu nyingine ntakuombea mtegemee Mungu soon utapata kaz na utafanikiwa sana kwa sababu ukati tamaa ila ukipata kaz jaribu kujiendeleza kielimu maana elimu yako bado ata kadegree cyo mbaya.goodluck

Nashukuru mkuu....mipango ya kuendelea ki elimu ndio haswa nahitaniji ila mambo ya fees yanabana mkuu
 
makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
195
Maisha yangu kielimu ni yakuunga unga tangu sekondari hadi hapa nilipo,
Vi barua vidogo vidogo ndivyo navitegemea hivyo ndio maana najitahidi kuomba vikazi kazi ili tu niweze kufikia malengo yangu ya kielimu na maisha kwa ujumla.

Tafadhari naomba mwenye uwezo wa kunisaidia kivyovyote afanye hivyo nitashukuru sana.

Isack....tusikate tamaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom