reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
habarini za asubuhi. napenda kuuliza mwenye taarifa za nmb kanda ya kaskazini km washaita kwenye interview nafas walizotangaza tangu mwezi wa kumi. natanguliza shukrani zangu

Bado. Subiri kidogo
habarini za asubuhi. napenda kuuliza mwenye taarifa za nmb kanda ya kaskazini km washaita kwenye interview nafas walizotangaza tangu mwezi wa kumi. natanguliza shukrani zangu
NMB kama huna unayemfahamu kwenye mtandao wa wafanyakazi humo ndani,sahau kuitwa. Huwa wanawaita watu wao tu kimya kimya. Nina ushahidi wa haya niyaandikayo,hii nchi ni ya ajabu sana,huwa hawaangilii fairness katka kazi zote zenye mkono wa uma,mfano crdb,nmb na ofisi zote zenye kuhusiana na serikali ama sekta za serkali zote corrupted mbaya and who knows you. Ee MUNGU saidi vjana wako katka ubaguzi huu zaidi ya ule wa makaburu S.Africa.