majangatz
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 107
- 91
Wadau habari za jioni,
Mimi. Ndugu yenu ni mjasiriamali ambaaye kuna vitu vinanitatiza. Ila natumaini hapa nitapatiwa majibu au njia ya kupita. Nimefungua kampuni yangu ya IT Home lakini tangu january imeanza na hii ni Dec sijapata kazi za kufanya. Nimejaribu kutafuta lakini suala la kujuana limekua kikwazo kikubwa sana. Kuna jamaa yangu aliniunganishia kazi moja tena nilikua kama sub Contractor ndio at least nimefanya hata moja.
Nimejaribu kusaka hizo kazi lakini sijafanikiwa hadi sasa, naombeni wadau wenye mchango chanya Wa jinsi ya kujikwamua ili niweze hata kutoa ajira kwa mtanzania hata mmoja.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums