Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau tusichoke kupeana mawazo hapa jf ndo tunapotokea tulio wengi,yeyote anayefanya kazi au alishawahi fanya kazi,ama aliye na details za Heifer intetnational.in sense of compansations and other...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA JKT , JAN , 2014 JESHI LA KUJENGA TAIFA LITAANDIKISHA VIJANA WA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KUANZIA JANUARI 2014. NAFASI HIZO ZIMETOLEWA KWA TANZANIA BARA NA...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu marafiki zangu hapa jamii mimi ni msichana,nina miaka 23,kwasasa nipo DAR,nimejitokeza hapa, NATAFUTA KAZI,NIMEITIMU CERTIFICATE YA COMMUNITY DEVELOPMENT GENDER AND CHILDREN,kutokana na...
0 Reactions
23 Replies
50K Views
Wadau habarini!Kwa yoyote mwenye ndugu yake ambae ni Graduate mwenye experience ya Blasting kwa miaka mitatu na zaidi anahitajika haraka sana kwa kufanya kazi kwa muda. Kazi yenyewe iko Rwanda Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wale walio apply kazi nhif vipi walishaita watu wa interview ama vipi..!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jina langu ni m.m makazi ni dar es salaam nina ujuzi katika PROGRAMMING C language C++ language HTML/CSS for websites JAVASCRIPT PHP MYSQL JQUERY & AJAX Na library nyingi kama QT-PROJECT GTK++...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
We require highly motivated and enthusiastic individuals to join our growing team of IT specialists to work on various projects currently being executed. Senior Developer Develop...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman na shida na makaunta wa bar yeyote aliyetayari plz let me knw bar ipo kurasini karibu na uhamiaji
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Niliona tangazo la kazi humu JF, nilituma mamombi na nikaitwa kwenye interview. Nilikuja kuomba ushauri hapa na watu wakafunguka vilivyo. Tulikuwa watu 46 nafasi zilikuwa 4. Namshukuru Mungu baada...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa jf. Naomba kupata msaada kwenu kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama decemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 je kuna taarifa yeyote maana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari.?nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili HR SOLUTION,nafasi ya Senior Administrative Officer. Tafadhari naomba details ya hii company na status yake in payment/compensation and other...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni mwalimu wa sekondari ngazi ya degree, kwa sasa nafanya M.A. EDUCATION EVENING PROGRAMME - UDSM, nafundisha masomo ya geography na civics. Nina uzoefu wa 6yrs kazini. MAWASILIANO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni msichana mwenye miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita naomba msaada wa kazi aina yoyote.........ninauelewa wa computer ......nina uzoefu katika mauzo ya bidhaa kam nguo na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nildrop chuo during my 2nd year kutokana na kukosa uwezo wa kifedha, nilkuwa nachukua B.A in Accountn, snce then nimesha
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Manunuzi na Ugavi(Diploma in Procurement and Supplies management), Naishi Mbagala kwa mpili(saba saba) Temeke Dar, Kwa yule yoyote...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapa ni kizungumnguti kwa wale watokao mikoani.... Records management assistant II wameitwa watu 468,mtihani wa mchujO utaanza saa 3.00 asubuh Inspection technician II WAMEITWA watu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta kazi ya udereva wa magari madogo.nina chet cha Veta na leseni.popote nafany kazi sichagui sehemu.kwa mawasiliano no.0652 868486 or idrisa.mohamed@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Piga Simu 0658282633 0784282633
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta kazi ya udereva wa magari madogo.nina chet cha veta na leseni.sichagui kazi wala sehemu popote nafany kazi.mawasiliano 0652 868486 au idrisa.mohamed@yahoo.com
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau natumaini mko vema.. kama kuna mdau yeyote mwenye taarifa kuhusu zile ajira zilizotangazwa utumishi kama vile poultry unit manager, dairy unit manager anijuze kupitia hapa manake kuna mdogo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom