Nina tafuta kazi ya IT-PROGRAMMING

Nina tafuta kazi ya IT-PROGRAMMING

Joined
Nov 6, 2012
Posts
22
Reaction score
1
Jina langu ni m.m
makazi ni dar es salaam
nina ujuzi katika PROGRAMMING
  • C language
  • C++ language
  • HTML/CSS for websites
  • JAVASCRIPT
  • PHP
  • MYSQL
  • JQUERY & AJAX
Na library nyingi kama
  • QT-PROJECT
  • GTK++

nina tafuta kazi yakuniwezesha kutumia ujuzi wagu
 
Samahani mkuu, unazijua hizo lugha zote effectively au ? na unajua kuzitumia katika uhalisia au maneno mengi tu>>>
 
Kama we ni programmer na unatafuta ajira utakua unatatizo na ujuzi wako emu jaribu kuwa mbunifu uone matunda yake wenzio wanafuatwa wapige code we unazikalia emu shtuka na utafute fulsa
 
Mkuu unavosema uko safi katika languages hizo afu nimefungua site yako kitu cha kwanza nimeona ni web designer ambaye hayuko safi kabisa, hiyo page kuandika code yake ni dakika tano n i think hata hizo dakika tano graphics zitakua safi kuliko hiyo, haina mpangilio n si user friendly kabisa.l
Sawa, ni vizuri sana mmejitahidi kutengeneza library mtu aweze kuprogram kwa kiswahili, hiyo labda itumike kufundishia watu programming basics kabisa, especially wasio na ujuzi wowote kabisa kwa programming ili kuwaingiza wajuejue kdg mambo yanavokwenda, lakini katika real industry mtu hawezi kutumia hiyo hata siku moja, atahitaji vitu ambavyo vipo worldwide, vimetengenezwa vimechukua muda na mawazo ya watu wengi ndio maana hata companies kubwa zinatumia..
Unaonaje ujiongeze kwanza maujuzi afu ndio uingie kwenye industry, hata online kuna sehemu nyingi sana za kujitengeneza kua expert programmer, it takes time n commitment ya kutosha, dreams.. Fanya projects, weka mifano, fikiria ideas, hata IT industry iliyoko bongo inahitaji watu waliosimama kdg..
All the best
 
Back
Top Bottom