Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naomba kujua bei ya kununua kiwanja bonite mkoani kilimanjaro hatua 20 kwa 40.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pccb vp wadau?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
SERIKALI KUPITIA SEKRETARIETI YA AJIRA IMETANGAZA NAFASI MPYA ZA KAZI, MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 19/1/2014 BOFYA HAPA KUZIANGALIA HIZO KAZI
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Je wewe ni Member wa TanzaniaGraduate.com? Una Certificate, Diploma, degree au Masters? Nafasi kibao za Serikari zimetangazwa kupitia website yako, Directors, accountants, Procurements, Managers...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Vacancy No: ROSTER/INTERNSHIP/2014/1/04 Title: INTERNSHIP IN FINANCE Contract type: Internship Duration of contract: 3-6 months Date: Application Deadline (midnight Geneva time) 19 January...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Halo Members,I am looking for the teaching vacancy,I am holding a Diploma in Secondary Education with 3 yrs of experience. 0655874863 ellymmbaga77@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habar wadau....naombeni mnijuze modality za ku interview kwa post za tutorial assistant chini ya tume ya ajira, pamoja na vitu gan vya kuzingatia kwenye interview zao
1 Reactions
3 Replies
4K Views
STAMICO mbona kimya? Nafasi za kazi zilitangazwa October 2013 wakitafuta wafanyakazi 78, usahili ukafanyika mwanzoni mwa december 2013. Mpaka sasa bado hawajatoa majibu! JF jungu kuu halikosi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi Heshima Mbele! Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni. Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale mlioko Morogoro Mjini ningeomba mnijuze wapi kuna review classes za CPA na kama kuna watu naweza discuss nao just naomba tuwasiliane 0686399397. Thanks in advance and nice time
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau JF, Natafuta msichana/mama wa kulea mwanangu(Lengo ni kumuandaa MTOTO ana umri wa miaka 4 kwa ajili ya shule anasoma Chekechea Tanga School,kumsindika shule na kwenda kumchukua shule saa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanahitajika walimu wa kufundisha primary school kuanzia grade five mpaka seven shule ni english medium kwa masomo ya mathematics, english, science, vocational skills na mengineyo!! wanahitajika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kizuri kinauzwa Arusha, kilipo kuna huduma zote za kijamii. Kwa anaehitaji tuwasiliane 0656 811174.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Puma Energy, a fresh and dynamic energy business supplying affordable, high quality oil products to frontier markets. Using a simple and consistently effective business model, that fuel frontier...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Internship Position Available // Administrative Assistant Who we are // Juabar is an energy franchise, a charging kiosk and point-of-sale distribution point operated by our trained...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
TANZANIA: YOUTH ENTREPRENEURSHIP SUPPORT INTERVENTION Experienced strategy consultant required to explore and design an appropriate delivery model for a YBI youth entrepreneurship support...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi ni kati ya nafasi za kazi 29 zilizotangazwa leo, kuona nafasi zote zilizotangazwa leo bofya www.ajirakwanza.com POSITION: COMMUNICATIONS ADVISOR Organisation Context: CARE is a...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,katika hili jukwaa nimekuwa nikitoa tangazo la kuomba nafasi ya kuvolunteer,Lakini cjafanikiwa kupata kama ni barua nimezipeleka kwenye kampun kadhaa lakn mpaka sasa naona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefungua inbox zangu nakuta nimetumwa kwamba nimepata kazi kutoka shirika nisilolijua wala linahusika na nini lakini nimeambiwa ndo nimechaguliwa tu kwenye list za email. Sasa naomba mnisaidie...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom