kuna ndugu yangu yuko huko,take home anavuta kama 1.7milion.
Wadau tusichoke kupeana mawazo hapa jf ndo tunapotokea tulio wengi,yeyote anayefanya kazi au alishawahi fanya kazi,ama aliye na details za Heifer intetnational.in sense of compansations and other opportunities.naenda kufanya udahili huko j3