Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Asalaaaaaaam wana JF, kwa anaye faham kuhusu aptitude test za pccb hasa zina base kwenye vitu gani kwa kada ya account ili kufanya maandalizi vema.Pls kwa anaye fahamu atoe hata Hints hapa, kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani wadau sie wenye degree JKT ndo hatuna chetu?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mi ni msichana miaka 20,,na certificate ya journalism in general natafuta kazi yoyote ili kujikimu kiamaisha npo tayari kufanya kazi popote na katika mazingira yoyote naombeni msaada wenu tafadhali
1 Reactions
29 Replies
5K Views
habari?mimi ni msichana wa miaka 20 nina elimu ya certificate in journalism kutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi ya kufanya yoyote ile npo tayari I am extremely flexible in generation of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Public Relations Officer Internal Affairs Position: Public Relations Officer -Internal AffairsEmployer: TANESCO Location: Dar es SalaamEducation: Bachelor/Advanced Diploma in Journalism and...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mwenye info tujuzane maana pccb tumekosa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT. TANZANIA YOUNG HEALTH RESEARCH SCIENTISTS (TAYOHERES) is a nongovernmental non political organization established in Tanzania to serve for the interests of young medical...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mtu yeyote anayejua utaratibu wa kujiunga na JKU hapa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu usaili wa kujiunga na jkt kwa mwaka 2014 kwa walioomba from 17/12/013 hadi 3/1/13 kwa mkoa wa arusha umefanyika jana 6/1 na moshi ni tar 7/1 na had tar 8 kwenye ofis za mshaur mkuu wa mgambo...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
kwa wale wahitimu wa degree/advanced diploma Records Management,tuma resume kwenye e-mail kkasi2014@gmail.com,wahi nafasi ni chache.Ni nafasi ya kufundisha(MWALIMU),tafadhali tuma kama umemaliza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada kupata maelezo ya kufanya mtihan certificate TIOB
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau Habari zenu . Naomba kujua kama IAA wametoa majina ya watu walioitwa kwenye Usail kwa post walizotangaza mwanzoni mwa desemba 2013
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf.mm mwezi huu wiki iliyo pita niliomba nafasi ya kufundisha secondary shule flani yombo-buza ilikuwa siku ya jmosi nikafanya interview nikapita na nikapewa barua ya kazi ya mshahara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni miezi kadhaa imepita tangu interview zifanyike ambapo interview ya kwanza ilifanyika mwezi wa tisa na baada ya muda wakatuita tena katika interview ile ile kwa mara ya pili jambo ambalo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman wadau et ni kweli pccb wametoa majina ya usaili,,,ni tetesi tu nimeskia nataka kuhakiki kama kweli
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo nasomea urban planning,natafuta kibarua chochote ambacho ata ikiwa mbali na ninachosomea ila mradi nipate hela ya kula na kujilipia maitaji yangu ya chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kama kuna anayefahamu kuhusu hawa LAPF atujuze maana ni kitambo tangu ile interview ya duce. au walishaita? msaada wapendwa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahusika wa kichwa cha habari hapo juu. Salam kwenu. Naomba tujadiri ni kipi kimetukwamisha kupata ajira hadi leo? Tunaanza mwaka mpya sasa, ebu tujifunze kupitia makosa tuliofanya mwaka 2013...
8 Reactions
48 Replies
9K Views
..... ...... ..........JamAni zile nafasi zenu mlizokuwa mwazisubiria sasa zipo tayari na muda wowote zitatoka,baada ya taratibu fulani fulani za kiofisi,nikizungumza na chanzo cha habari...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wakuu. Mimi ni mtanzania mwenzenu nna uzoefu mkubwa nimefanya kazi sehemu 4 tofauti. 1. kama msimamizi wa internet cafe 2. nimefanya kazi na NGO kama youth affairs coordinator 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom