Mimi ni msichana nina miaka 23,natafuta kazi yoyote halali

BlackBella

Member
Aug 10, 2012
28
45
Ndugu marafiki zangu hapa jamii mimi ni msichana,nina miaka 23,kwasasa nipo DAR,nimejitokeza hapa, NATAFUTA KAZI,NIMEITIMU CERTIFICATE YA COMMUNITY DEVELOPMENT GENDER AND CHILDREN,kutokana na hali ngumu ya Ajira,Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,namba yangu ya simu ni 0755 08 47 15,ahsanteni marafiki zangu,naamini kupitia nyinyi NITAFANIKIWA KUPATA KAZI.
 
tofali

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
4,014
2,000
Aiseee..certificate ya community development. ..form 4 yako ikoje matokeo
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Wakuu mpeni kazi huyo atakuwa na Computer Literacy ambayo inaweza msaidia kufanyia kazi kama katibu mhutasi au Office Administrator..
 
Mystic

Senior Member
Feb 4, 2013
150
225
Wakuu mpeni kazi huyo atakuwa na Computer Literacy ambayo inaweza msaidia kufanyia kazi kama katibu mhutasi au Office Administrator..

Kumbe katibu mhutasi (if its correct) na Office Administrator ni cheo cha computer literate pengne na certificate tu? just questioning!
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
11,419
2,000
Ndugu marafiki zangu hapa jamii mimi ni msichana,nina miaka 23,kwasasa nipo DAR,nimejitokeza hapa, NATAFUTA KAZI,NIMEITIMU CERTIFICATE YA COMMUNITY DEVELOPMENT GENDER AND CHILDREN,kutokana na hali ngumu ya Ajira,Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,namba yangu ya simu ni 0755 08 47 15,ahsanteni marafiki zangu,naamini kupitia nyinyi NITAFANIKIWA KUPATA KAZI.
wadau fursa hii changamkieni
 
kwaji

Senior Member
Nov 3, 2013
186
225
Napangisha nyumba kigogo mwisho upande gari unalaza ndani upande uliokamilika contact 0715 877933
 
mkeyamasai

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
303
225
Ulaya ndio ilivyo, sio secretary bali anakuwa office admin

hayo peleka ulaya ukisema huku unatuchanganya secretary na administrator ni tofauti kabisa ...kwaio ukienda ofcn ukiwa na shida na secretary utasema unamuhitaji administrator au?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom