Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wakuu naomba kwa aliyejikoni mwenye kufahamu ni lini nafasi za jeshi zitatoka kupitia jkt, kwa mwaka huu 2013. binafsi nimesikia juu juu(unconfirmed) kuwa zitatoka mwezi wa 9 mwishoni au wa 10...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
nimeishia form 6 combination pcb nipo dodoma
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Natafuta kaz ya records management
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu kwa wale waliofanya interview ya hawa jamaa pale msimbaz tar 02/01/2014 nafasi ya client officer,client assistant,banktaller VP wameshaita oral interview
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana...kwa wote mliofanya USAILI kule STAMICO mnamo Dec 2013, wameanza kuita watu jana tar 31/12/2013 tayari kuanza kazi kulingana na kila mtu na mahali pake. Kwa hiyo wote waliofanya usaili...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wadau Utumishi haijatangaza kazi za mawizarani kwa mda mrefu sasa hii inaweza kua imesababishwa na nn? Na ni kipindi gani basi kazi hizo za kada mbalimbali zinaweza kutangazwa.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
jkt
niaje wakuu wale vilaza waliokuwa wanauliza kuhusu jkt barua za maombi zinaanza pokelewa tarehe 10/01/2014 ktk ofisi za mshauri wa mgambo sehemu ulipo NB:Sitaki maswali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, hivi serikali imewahi hata kuzuia habari ya makampuni na serikali yenyewe kuhusu kuajiri watu wenye experience tu? Maana hapo ndipo rushwa inapoanzia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inavo onekana kumekuwepo na ubaguzi wa kujiunga na jeshi la kujenga taifa katika nchi yetu ya tanzania Malengo ya Jeshi la kujenga Taifa nikuwaandaa vijana wa tanzania kuwa wazalendo na...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Hellow wana jf .
0 Reactions
0 Replies
756 Views
natafuta kazi ya udereva wa magari madogo.nina reseni na cheti cha veta sichagui kampuni au sehem popote nafany kazi.my contact 0652 868486 or idrisa.mohamed@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba tujuzane kuhusu hawa jamaa wa immigration mwaka huu.kama ukipitia source yoyote ya information ukaona wametoa nafasi za ajira mwaka huu tupeane taarifa.thanks much
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba munisaidie ninataka kununua kiwanja maeneo ya Bonite mkoani kilimanjaro. Je hatua 20 kwa 40 ni bei gani? Ahsanteni wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vipi jamani acb na kazi zao za utellers walisha itaga watu kwenye usaili. au walishakuwa nao tayari wakawa wanatimiza wajibu tu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
For filtration solution, parts and oil please visit: Tracto Co. (Tanzania) Ltd For Heavy equipment hiring visit: KukuNzito | We are in the business of supplying fleetguard filters...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
We have a vacancy for a Head of Maintenance at Serengeti Bushtops Camp. The applicant should be an Engineer with min. Diploma in plant & equipment/electrical and 4x4 maintenance Please...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Hi All. We are looking for a Experienced Person in Sales & Marketing for a Printing and Advertisement Company based in Arusha. The Main responsibilities are: 1. To take care of Existing...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Manager (Risk & Compliance) Bank of Baroda Area: Dar Es Salaam Position Description: BANK OF BARODA, India's International Bank and one of the leading Banks in India, is having overseas...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality hybrid seeds. The company is based in Tengeru, Arusha, Tanzania. It has 5 hectares of greenhouses and employs over 180...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Walimu wawili wa masomo ya book keeping na commerce wanapatikana kwa mkoa wa dar es salaam kwa ngazi ya o level,kwa mawasiliano zaidi tumia email ifuatayo ya haneyjr095@gmail.com au simu namba...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom