Call for Interview HR solution.

Call for Interview HR solution.

LOBBIST

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Wadau habari.?nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili HR SOLUTION,nafasi ya Senior Administrative Officer.
Tafadhari naomba details ya hii company na status yake in payment/compensation and other social welbeing.
Na je hawa ni mawakala kama walivo Deloitte au?na kila nikipekuwa kwenye orodha ya company nilizoomba hakuna HR solution ,kidogo imeni confuse.
 
Hao ni madalali wa kutafuta wafanya kazi wako pale vingunguti..
Nashangaa unaulizia mambo ya social benefits .....
 
Kampuni nyingi cku hizi hazitaki kuwafanyia interview watu wanawowaitaji wenyewe bali utumia kampuni zingine za recruitment ili kuepuka upendeleo, kujuana n.k..Sasa kampuni ya HR solution nao wamepewa tu tenda hiyo na kampuni uliotuma maombi ya kazi.. kwa kifupi we jiandae kafanye interview utakutana na mmoja wa mabosi wako na vijamaa vya HR kama viwili hivi ..kila la kheri..
 
Nashukuru pia,lakin sio vibaya kuelewesha pale usipo elewa,so wao wanakupeleka company yoyte ile?
 
Bimbilsamavi you made it bro..thank you.nilijua wao ndo wanaajiri na unafanya kazi kwao and im not ready to work for such company.
 
Cha msingi ujue general activities/ job description za Administration officer kama hujui unaenda kufanya kwenye kampuni gani. Kama unaenda kufanya hapo basi ni vema ukajua A B C za kampuni. All the best.
 
Bimbilsamavi you made it bro..thank you.nilijua wao ndo wanaajiri na unafanya kazi kwao and im not ready to work for such company.

Wewe utakua ushaajiriwa somewhere coz you can't ignore a job while huna pakujishikiza
 
kaka hongera ,ila hao jamaa ni maagent sema mara nyingi wanakuwa wazushi sana hawa jamaa coz wao ndo watakuwa wanakulipa kwahiyo kuna uwezekano mkubwa ugawa mshahara wako mnagawana nusu kwa nusu
 
Yap sipo mtaani nina kaz tayari,na hizo post ni za heifer international ila zilitangazwa kupitia hr soln.any one who have deeo dteils about heifer international plz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom