Ajira za Kibaha Trainining Centre usahili..

Ajira za Kibaha Trainining Centre usahili..

BIMBILISAMAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
291
Reaction score
58
Wadau natumaini mko vema.. kama kuna mdau yeyote mwenye taarifa kuhusu zile ajira zilizotangazwa utumishi kama vile poultry unit manager, dairy unit manager anijuze kupitia hapa manake kuna mdogo wangu alituma maombi hadi sshv kimya...anaelekea kukata tamaa...tujuzane kama kuna mtu amaeshaitwa kwa usahili au taarifa yoyote..??
Nawakilisha..
 
subira ya vuta heri na harakaharaka haina baraka,pia mvumilivu hura mbivu na mchumia juani hulia kivulini,
 
Back
Top Bottom