Thanks in advance guys, nategemea sana msaada wenu bt sorr kwa txt yng kuwa ya vpande vpande hii ni kwa 7bu cm nayotumia
Nildrop chuo during my 2nd year kutokana na kukosa uwezo wa kifedha, nilkuwa nachukua B.A in Accountn, snce then nimesha
come up na ideas kadhaa za kujiajiri mwenyewe bt i've failed kutokana na kukosa capital. now i'm askin u jf members 2hlp
Weka picha