Kwa wale degree holders mnaotaka kujiunga na JWTZ

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Kwa sasa mambo ni magumu mpaka kujiunga hii inachangiwa na waliopita mwanzo hasa kozi ya afsa cadet monduli maana wengi baada ya kupata vyeo wakabweteka juzi walipopelekwa congo matokeo yake wengine kwanza wakagoma kwenda,wengine kufika kule wakatoa vyeo vyao begani sababu ya woga.

Mnadhimu mpya wa jeshi ameamua sasa itakuwa jkt miezi 6 kisha unalitumikia miezi 4,kisha JWTZ miezi 4,kisha ndio unaomba kwenda TMA ambapo napo ni mwaka.

Na sasa form 6 unapewa vii diploma unapewa nyota moja na degree ndio nyota mbili.

Haya kazi kwenu
 
duuuu hatar kwelikweli watu wanataka kwenda jwtz bila kujua kaz za huko hahahahahaah njooon mpiganie nchi sio kufata pesa, watu wanakimbia vyeo vyao kisa wapo line-up ya kwenda congo
 
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
A%20S%20103.gif
 
Kwa sasa mambo ni magumu mpaka kujiunga hii inachangiwa na waliopita mwanzo hasa kozi ya afsa cadet monduli maana wengi baada ya kupata vyeo wakabweteka juzi walipopelekwa congo matokeo yake wengine kwanza wakagoma kwenda,wengine kufika kule wakatoa vyeo vyao begani sababu ya woga.
Mnadhimu mpya wa jeshi ameamua sasa itakuwa jkt miezi 6 kisha unalitumikia miezi 4,kisha jwtz miezi 4,kisha ndio unaomba kwenda TMA ambapo napo ni mwaka.
Na sasa form 6 unapewa vii diploma unapewa nyota moja na degree ndio nyota mbili. Haya kazi kwenu
Nashukuru mkuu,sasa nianzie wapi ?kwa mwenyekiti wa kitongoji,kijiji au mtaa?
 
duuuu hatar kwelikweli watu wanataka kwenda jwtz bila kujua kaz za huko hahahahahaah njooon mpiganie nchi sio kufata pesa, watu wanakimbia vyeo vyao kisa wapo line-up ya kwenda congo

Jeshini kuanzia captain kushuka chini wote wanapigana front line wengi hilo huwa hawalijui kabla
 
vipi tunaombaje sasa nataka nikagangamale huko?
 
Kwa sasa mambo ni magumu mpaka kujiunga hii inachangiwa na waliopita mwanzo hasa kozi ya afsa cadet monduli maana wengi baada ya kupata vyeo wakabweteka juzi walipopelekwa congo matokeo yake wengine kwanza wakagoma kwenda,wengine kufika kule wakatoa vyeo vyao begani sababu ya woga.
Mnadhimu mpya wa jeshi ameamua sasa itakuwa jkt miezi 6 kisha unalitumikia miezi 4,kisha jwtz miezi 4,kisha ndio unaomba kwenda TMA ambapo napo ni mwaka.
Na sasa form 6 unapewa vii diploma unapewa nyota moja na degree ndio nyota mbili. Haya kazi kwenu
Nafasi zinatoka lini?
 
Hiyo nzuri kwa sababu vijana wengi wanataka maslah kwanza na uzalendo nyuma.Kwa mpango huo Jeshi letu litakuwa na nidham ya hali ya juu. Safi sana
 
vipi tunaombaje sasa nataka nikagangamale huko?

Mkuu huko hamna kuuza sura na usharobaro!! Usiende kisa mtaan kaz hamna...na ujue kuingia ni rahisi kutoka ni mziki!!!
 
Hizo nafasi wanatoa lini mkuu.....hizo mishe za huko hakuna shida shida kupata nafasi
 
hizo nafasi zinatoka lini coz am ready for everything no matter what, they put me in front of the front line!
 
Makomandoo wakashusha vyeo wakae nyuma waongozwe, kufa mchezo nn. pengine kaacha mtu wk ndoa bado kidogo mnampeleka huko
Kwa sasa mambo ni magumu mpaka kujiunga hii inachangiwa na waliopita mwanzo hasa kozi ya afsa cadet monduli maana wengi baada ya kupata vyeo wakabweteka juzi walipopelekwa congo matokeo yake wengine kwanza wakagoma kwenda,wengine kufika kule wakatoa vyeo vyao begani sababu ya woga.
Mnadhimu mpya wa jeshi ameamua sasa itakuwa jkt miezi 6 kisha unalitumikia miezi 4,kisha jwtz miezi 4,kisha ndio unaomba kwenda TMA ambapo napo ni mwaka.
Na sasa form 6 unapewa vii diploma unapewa nyota moja na degree ndio nyota mbili. Haya kazi kwenu
 
hizo nafasi zinatoka lini coz am ready for everything no matter what, they put me in front of the front line!
mkuu kwan njaa inauma sana, tena sio line n V au /\. hiyo ya kwanza kiongoz yupo kati kulia na kushoto wanamtangulia ya pili kiongozi anatangulia yeye kulia na kushoto wanakua nyuma hii ndo kasheshe wakizimwaga wamekuchana
 
Tatizo sio kuwa line-up vitan ok!!!!coments za vijana wanauliza jinsi ya kujiunga no matter wat will happen to them,xo properganda zingine weken pemben juen mada then someni coments na kuzitambua alfu wasaidien jinsi ya kwenda huko jeshini!!!!wanapenda watanzania hawa ila sema jeshi kwa sasa linamfumo wa kujuana hata kwenda JKT tu ni mpaka uwe unamjua mtu au utoe rushwa ndo labda unaweza kujiunga,xo unaweza kutoa rushwa pia usiende kujiunga!!!
SUALA NI KWAMBA:......
PCCB ifanye uchunguzi katika jeshi la JKT na JWTZ na mengine yote il kutokomeza janga hil ambalo lina wanyima watanzania vijana kujiunga na JKT ili kupata ufanisi na ujuzi wa kuweza kujiari nakuwa wajasiriamali il kundokana na tatizo la ajira linalo wakumba vijana wa kitanzania ambao hawana watu wa kuwashika mkono il wakajiunge na mwisho wake wana lalamikia serikal kuwa ajira hamna!!ni mtazamo tu!!!.
 
Back
Top Bottom