Utumishi Wamefunguka Tena

Utumishi Wamefunguka Tena

Asante kwa taarifa mkuu, nimeona moja niniayofit ila sasa experience wanaotaka sina, lakini nitajaribu tu.
 
Wanaweka tangazo kutimiza wajibu 2 ila tayari wanawatu wao,ubarikiwe kwa kutujuza pia si vibaya kubahati wanaweza kujisahau wakakupitisha.
 
Pole sana kaka, utapata tu! Kuwa mvumilivu huku ukiwa unajishughulisha na ishu zingine zingine!
Asante kaka. Naona.watu wa kilimo.washindwe wao.

Dah, kudadeki hii course yangu vipi? Mbona ajira hakunaga?
 
Mkuu, we omba tu utakuwa umemaliza wajibu wako!
Wanaweka tangazo kutimiza wajibu 2 ila tayari wanawatu wao,ubarikiwe kwa kutujuza pia si vibaya kubahati wanaweza kujisahau wakakupitisha.
 
Mkuu Brightman Jr, how far are you sure? yaani wawe na watu wao nafasi zaidi ya 500? kama ni kweli basi hii nchi itakuwa imeoza zaidi ya nilivyokuwa nafikiria!
Wana watu wao tayari wengine mtakula gharama za bureee...!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hawa jamaa ni miyeyusho eti nafasi ya dereva wa kivuko wamerudia tena kutangaza wakati nafasi yenyewe ilikua moja .....ina maana hakuna aliyeomba!!!!! Wakati mimi ni mmoja wapo na washkaji kibao ninawajua waliomba du kweli hiiii ni only in tanzania
 
Mkuu Brightman Jr, how far are you sure? yaani wawe na watu wao nafasi zaidi ya 500? kama ni kweli basi hii nchi itakuwa imeoza zaidi ya nilivyokuwa nafikiria!

duh, muuza ubuyu umetoka ughaibuni hivi majuzi nini? ni kweli sio nafasi zote 500 zinaweza kua na watu, ila zaidi ya nusu zina watu. hafu tusiongelee nafasi 500 kwa ujumla, maana hakuna mtu anaeweza fiti kwote. chukulia unakofit kuna vacancy 10. hafu "za wenyewe" kama anavyosema Brightman Jr zikawa 6. ebu sema wewe hapo..
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata mkuu Secret Service! Lakini kinachonishangaza sana ni kutangaza nafasi ambazo zilizo nyingi ni zile walizozitangaza 27 Nov, 2013! Bado hawajawapangia kazi walioomba au hata kama ni kuwafanyia watu interview baada ya karibia miezi 3 wao wana readvertise tena! kazi kweli kweli!

Back
Top Bottom