hatimaye nafasi za kujiunga na JWTZ bila kupitia jkt zatoka,wilaya zapewa nafasi chache,kwa waliomaliza form six nafasi moja kila wilaya,kidato cha nne nafac 7 kila wilaya,darasa la 7 nafac 14...
Wahitimu wa shahada na stashahada ya kilimo wamekuwa na uhakika kuhusu kuajiriwa na serikali, lakini wengi wamekuwa na shaka na pia kukosa uhakika sana kuhusu hizo ajira na isitoshe wameshindwa...
Habar wana JF,
Kwa yoyte mwenye kibarua or anaejua sehem kwenye kibarua anisaidie tafadhali, nina elimu ya kidato cha 4 ila nilifeli nikapata 4. Nawaomba wapenda hasa mlioko Dar msaada wenu...
Napenda kutoa angalizo kwa watu waishio Dar na ambao huwa wanaagiza wanafakazi wa ndani ( house girls na house boys) limezuka kundi la watu ambao wanakaa katika vituo vya mabasi yatokayo mikoani (...
Logistics Coordinator at Serengeti Breweries Ltd, TanzaniaSerengeti Breweries Ltd (SBL) operates exclusively in Tanzania and is the 2nd largest beer company with a market share of just under 30%...
Hawa jamaa wapoje kimaslahi wadau? Kwa sababu nina kazi inanilipa laki 800000 kwa mwezi baada ya makato yao. Nahofia kuiacha na kwenda kwa TICTS.
Mwenye kuwajua afunguke.
Finance department
Ndugu wajamvi,
Napenda kuwatangazia fursa ya "internship" hapa Arusha ya muda kati ya wiki 3-5. Muhitaji awe amefuzu ngazi ya diploma na kuendelea. Mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia private...
Habari wakuu
Mimi ni mwandishi na mtunzi mzuri sana wa hadithi na nishaandika hadithi nyingi tu katika mtandao wa Facebook kama vile "SIKU SABA ZA KARALINA" "MTUMWA WA MAUAJI" n.k ila kwa sasa...
Habari zenu wana jamvi?
Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?
Hebu tujuzane wapendwa.
Natanguliza shukrani.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/E/34 17 Februari, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika...
Wanajamvi heshima yenu.
Kuna kazi imetangazwa na ESAMI arusha, kuna mdau anawajua vizuri? Je ni wa serikali ama ni watu binafsi? Wanajiendesha namna gani? Kimalipo wapoje pia? Nasema hivyo kwa...
Nimekuja kutambua kuwa katika kutafuta kazi, hatupaswi kutumia nguvu na ujanja ujanja bali, bali ni katika kumtumainia Mungu. Maana yeye ndo anayejua hatima yetu.
Kwa maana nyingine kama kaz ipo...
KAZI HIZO KAZI KWENU
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT
1.0 Open Position: Human Resources Officer - Trainee (5 Posts)
Reporting...
Head of Sales at Tigo Tanzania
Role Purpose
Responsible for the full operation of the Targeted Sales department, from the identification and testing of targeted offers to the scale up and...
EMPLOYMENT OPPORTUNITY Computer Management Specialist Closing Date of The Position: March 6, 2014 ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY...
Mimi ni Graphic Designer natafuta kazi ya graphic, nina uzoefu wa miaka 3 katika fani hii, nimesomea kozi ya Illustrator CS, Photoshop CS, Indesign,
ColarDraw x5 pamoja na Pagemaker.
Contact...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.