Ajira za Mifugo

Ajira za Mifugo

Dr.nathan

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
76
Reaction score
31
Naomba kuuliza hivi ajira za wizara mifugo zitatoka lini? Maana tumechoka kusubiri sasa because tumetuma maombi tangu mwaka jana.mwenye huakika jamani aniambie.
 
kaka na wewe ulituma maombi huku wizara ya mifugo?
 
Tuendelee kuvuta subira tu mambo mazuri hayataki haraka hata mimi nimegraduate kilimo na nishatuma maombi.
 
Back
Top Bottom