watu kwa kukatishana tamaa bana oooh mara jina lako halimo oooh kalikwenda na kurudi.
SIkiliza bana hao jamaa wa zomamoto wakitoa tu utapata taarifa siunajua wengi waliomba kwanza ukiingia tu humu JF utakuta taarfa chamsingi kua na subira
zima moto unawapigia simu saa 9 usiku kwamba kuna janga la moto, wanakuja kesho saa 4 asubuhi. viteteo utasikia hatukua na maji kwenye gari au mafuta yaliisha hafu hazina ilikua imefungwa.
kwa kauli yako inamaanisha watakuja kurelease shortlist miezi 3 baadae.
Watu wana haraka kana kwamba hawana mirija ya uvumilivu ilishaunguzwa na moto. Deadline ilikuwa feb. mwanzoni, leo hata mwezi haujaisha unataka majina, zinakutosha kweli. Yakitoka likawa halimo lako???? Shule itusaidie kujiajiri si kila ukilala unawaza majina ya zimamoto. Hata wale waliosoma disaster management hawana uhakika wa kuitwa, UTAKUWA WEWE?
Thanks prince Akeem kwa ushauri wako mzuri na unaoonesha ulienda shule na ukaelimika pia. Watu wanaharaka wakati hata kuruka kichura maili 50 hawawezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.