Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Location : Dar es Salaam, TANZANIA Application Deadline : 12-May-14 Type of Contract : Other Post Level : Other Languages Required ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba nikumbushwe watu wenye degree wanalipwaje katika Bank especially, NMB, NBC, Bank ya Posta, etc. Najua huu uzi ulishawahi kuwekwa humu ila naomba mnikumbushe tu waungwana.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada wa oral interview za udom mwenye uzoefu zinakuaje. .. position assistant accountant
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahitaji vijana watatu hususani wanaoishi Dodoma waliotayari kuwa madereva wa bajaji ya mizigo na kuingia mtaani kupiga kazi. Aliye tayari ajue atapaswa kuwasilisha elfu 15 Kwa siku. Pia awe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina degree ya uhasibu, kwa sasa ni mwalimu katika shule moja ya binafsi hapa Tanga na mshahara wangu ni lak 5 kwa mwezi. Kuna rafiki ya kaka ameniambia niache kazi kisha niende katika ofisi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa JF, juzi nimepigiwa cmu na Watu wa TANROADS-Tanga, wakinihitaji nihudhurie kwenye interview itakayofanyika tar 7 na 8/05/14. Kwa maelezo yao wanadai nisome gazet la mwananchi la April 28...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni kwa ajili ya kufundisha wananchi wa mtaani na kuwapa maarifa ya ujasiriamali na biashara, ushauri, jinsi ya kutengeneza bidhaa mbali mbali za ujasiriamali n.k. Kazi ipo mbagala charambe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani maisha bila kazi ni noma natafuta kazi ya kufanya mimi proffesinal yangu ni maswala ya Umeme naweza funga umeme na pili naweza tumia computer fresh sana kama ni microsoft zote nazijua adobe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mimi ni mwajiriwa wa Umma na kipindi nipo job nilikopa kwenye taasisi fulani na wakawa wanakata kwenye salary kila mwezi. Kabla sijamaliza nilipata chansi kwenda kusoma na mwajiri akagomea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu ni mwaka wangu wa pili niko mtaani. Nahisi kukata tamaa na kuendelea kutafuta ajira maana nimeshatuma CV zaidi elfu 5 hadi sasa lakini nimeitwa kwenye interview mara mbili tu. Ebu tazama...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
. Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa. Ninauzoefu wa miaka zaid ya 5 pia nimzoefu wa kutumia computer Piga 0752504213 kwa mawasiliano.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushari wana JF. Mimi niliajiriwa 2004 na JWTZ kama askari baada ya kumaliza form four. Nilifanya mtihani wa form six nikiwa jeshini na kufaulu vizuri, Nikatamani sana kuendelea na elimu...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Nawasalimu katika jina la Bwana wana JF. Napenda kuuliza kama NMB wameshaita watu kwenye interview?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wana jf msaada kuhusu update za kazi za onfone media
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department. Naamini Maisha ni hatua tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
1 Reactions
122 Replies
18K Views
Nimepitia websit ya hawa jamaa wa French foreign legion,na nimeeona jamaa wana recruit watu kutoka mataifa mbali mbali bila kujali sana elimu zao ili kuweza kutumika kama askari wa kifaransa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani naomba msaada mwenye kujua mishahara ya procurement officer II ya PPRA ni kiasi gani...!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna mengine huwa napinga kisa tu serikali lakini kwa hili lililoongewa na Mh Rais JK,Hawa ma expert wapo wengi na hawana hata sifa wengi wao,sifa zao ni sawa na wa hapa kwetu mtu analipwa eti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello guys,tafadhali kwa anayejua mshahara wa credit officers kwenye hii taasisi ya mikopo ya EFC....imekuwa ni kawaida kwa taasisi za namna hii kulipa kidogo sana ukilinganisha na kazi unayofanya.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Poleni sana kwa majukumu wakuu, naombeni kuulza kuhusu kazi ya usalama wa taifa yani ipoje interms of every thing kwa mfano rabda usomee nini ndo uipate n.k
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Back
Top Bottom