Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Waungwana Mimi ni mwalimu wa Advanced mathematics na Physics! Natafuta kazi ya kufundisha katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. Contact 0755 272776
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salaam kwenu, nimemaliza mwaka jana kwa maana ni fresh graduate. Mpaka sasa hivi nimekutana na wengi na wengine nimewasikia watu wakilalamika juu ya ukosefu wa ajira, wengine wapo mtaani...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Jamani wandugu SBL wamesha anza kupiga simu kuhusiana na interview itakayo fanyika jumamosi saa sita mchana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
I am aged 24 (female) looking for jobs like house girl, baby sitting, stationey works, shopkeeping, hair dresser etc namaanisha kazi yoyote iliyo halali naweza kufanya. I was studying in a...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna utaratibu fulani wa maisha ambao watu wengi sana kwenye jamii wanajikuta wanaufuata bila ya wao wenyewe kujua. Na kwakuwa watu wengi hawana mipango kwenye maisha yao wanajikuta wanafata kile...
8 Reactions
30 Replies
6K Views
Nilikuwa nauliza kuhusu hawa jamaa, kuna watu washakuwa shortlisted CFAO motors kwenye sales representative post na TBS quality assurance post? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari ya jioni wakuu..naomba kujuzwa kama kuna mtu yoyote anawafahamu hao jamaa kuhusu kazi zao kwa ujumla wanazofanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina cheti cha form4 tu, sina hela ya kuendelea kusoma natafuta ajira kwanza ili nijiwezeshe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi waungwana, Wanahitajika Management Trainees kujiunga na kamouni za A1 Outdoors Outdoor Ltd ( Dar es salaam –HQ) Sifa ya mowmbaji ni kwamba unatakiw akuwa kijana mchapakazi na...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Salamu ndugu zangu, nina imani na kuthamini michango yenu wadau ila please comment positively. Mimi ni muhitimu wa uhasibu katika chuo kimojawapo hapa Tanzania na GPA yangu ni 3.8. Pia nilihitimu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaye fahamu taratibu za kujiunga na polisi, sababu naona nafasi zilizotoka ni kwa ajili ya form four waliomaliza mwaka jana na form six waliomaliza mwaka huu. Sasa inakuwaje kwa sisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam, hawa jamaa walitoa nafasi za graduate trainee vipi kuna watu waliitwa au bado? tujuzane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau hivi hawa jamaa majibu ya kuitwa kwenye usahili wanatoleaga wapi, ni kwenye website tu ama kwenye magazeti? Maana unaweza kukuta mtu ume apply alafu majibu yanatoka kwenye gazeti na we sio...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari JF? Naomba kujua, hv kazi za BOT zilizotangazwa October mwaka jana zilikua kiini macho? Kama hawakua tayari kwa nn walitangaza? Au watu washaajiriwa tayari?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi ni msichana niliyehitimu STASHAHADA YA UHASIBU(DIPLOMA IN ACCOUNTANCY) katika chuo cha elimu ya biashara-CBE tawi la DODOMA. Sifa za ziada ni, _nina ujuzi wa matumizi ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wapendwa yeyote mwenye up date kuhusu zile nafasi za tra
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Alisomea ualimu ngazi ya diploma chuo cha ualimu Kasulu na kupata GPA ya 3.9 na amesomea degree ya finance na Investment na kupata GPA ya 4.0 amekuwa katika field ya Ualimu kwa miaka 5 maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ppf
Habari zenu wana JF, nafasi za Benefit Trainee za PPF mulishaitwa kwene uptitude test :A S 39:
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wale waliofanya oral interview pale Akiba Commercial Bank walishaitwa kazini? tupeane taarifa wadau.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom