Hello guys, ijumaa tuliattend interview mahali, mpaka dakika za mwisho nilikosa tai itayoendana na mavazi yangu. Wenzangu nao hawakuwa na msaada maana wengi ni masela. Nikajipa moyo nkachomekea tu...
The Contracting firm is looking for qualified personel to fill the following vacancies in its technical team.
1.Structural Engineer(1post)
Qualifications
Tasks may vary depending on the...
Habari wanajamvi,kuna kitu nimekuwa nakiona sana kwenye matangazo ya kazi hasa zoomtanzania.Mtu anaweka kazi sawa ila "title " ya hiyo kazi kwa kweli huwa sizielewi.
Kwa mfano kuna kazi ilikuwa...
Idara ya uhamiaji imetangaza nafasi kibao za kazi
Afisi uhamiaji nafasi 70
Koplo wa uhamiaji nafasi 100
Konstebo wa uhamiaji nafasi 100
Deadline 27
Source: gazeti la mwananchi la leo...
Leo ni sikukuu kubwa sana kwa wafanyakazi nchini. Kitaifa itaazimishwa mkoani Dar na mgeni rasmi atakuwa Mh.Raisi. Jambo la ajabu ni kwamba wafanyakazi wengi mishahara yao ya mwezi april...
Nimeumia sana kuona wafanyakazi wakisherekea siku yao ya wafanyakazi ili hali mimi mwaka wa pili sasa sina kazi, inabidi na sisi ambao hatuna kazi tutafutiwe siku yetu na sisi tusherekee ili...
Habari wana JF, mimi naitwa Ben niko Mwanza nilikuwa chuo kwa semister tano shahada ya mawasiliano kwa umma, nimeshndwa kuendelea na masomo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu, msaada shule...
Salamu kwa wote.
Naomba kujua wadau, CV iliyo nzuri na yenye mvuto inatakiwa iwe ukurasa zisizopungua na kuzidi ngapi?
Pili naomba kujua, upande wa email application for job. Ni njia ipi nzuri...
(mim sio mwandsh so nitaandka kwa ufup sana kama utakua na swal au utahtaj maelezo zaid we n PM au hapa hapa nitakujb)
Habar zenu wana jamv hope mko poa, naomba nililete hili mbele yenu kwa yyt...
My company is located in Tanzania Dar es salaam,am looking for young energetic marketing officer to work with.He/she has to know computer also has to be creative and high convincing.send your CV...
Natafuta mwanamke yeyote mwenye uwezo wa kuendeshagari na awe na leseni.
Mawasiliano haya:
0655351478/0766351478
abdulnasoro78@gmail.com.
Vigezo na mashart kuzingatiwa..
Fungua majina ya walioitwa kazini idara ya Mifugo na kilimo kwa usaili uliofanyika kuanzia terehe 04 hadi 30 Machi, 2014
---------------------------------------------------------------------...
Wadau habari njema kwa walio tupia cv zao kwa tangazo la kazi la tarehe 17/04/2014 la pannar seed wameanza kuita watu kwenye usaili wa tarehe 9/5/2014.
Za asubuhi wadau, jana nimepigiwa simu kuwa niende kwenye usaili wa mchujo post Human Resource. Kwa anayejua hua wanalenga wapi hasa katika mchujo anisaidie. Nashukuru sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.