BURUDIKA Member Joined Dec 30, 2013 Posts 91 Reaction score 8 May 3, 2014 #1 Nawasalimu katika jina la Bwana wana JF. Napenda kuuliza kama NMB wameshaita watu kwenye interview?
BURUDIKA Member Joined Dec 30, 2013 Posts 91 Reaction score 8 May 3, 2014 Thread starter #2 Nawasalimu ktk jina la Bwana wana JF, samahani naomba kujuzwa kama TCCL wameshaita watu kwenye USAILI. Tafadhari mnijuze bandugu.
Nawasalimu ktk jina la Bwana wana JF, samahani naomba kujuzwa kama TCCL wameshaita watu kwenye USAILI. Tafadhari mnijuze bandugu.
BURUDIKA Member Joined Dec 30, 2013 Posts 91 Reaction score 8 May 3, 2014 Thread starter #3 Nawasalimu ktk jina la Bwana wanajamvi, samahani ivi TRA wameshaita watu kwenye USAILI?
Rancho Chand Senior Member Joined Nov 4, 2012 Posts 150 Reaction score 71 May 3, 2014 #4 Ngoja walioitwa waje, kwa wadau wachache nnaowafahamu bado hawajaitwa
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,395 Reaction score 99,258 May 3, 2014 #5 BURUDIKA unajaza server kwanini usingeweka tra,nmb na ttcl kwenye post ya kwanza? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
L lelo1 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 584 Reaction score 483 May 3, 2014 #6 kuna rafiki yangu kapigiwa cmu juzi na NMB amepata kazi