Yaani hizi akili za ki alshababu hizi, kuona oral tu, nikaambanisha na kansa ya koo kama douglas. Kumbe intavyuu ya uso kwa uso? Hongera.
Jamani naomba msaada wa oral interview za udom mwenye uzoefu zinakuaje. .. position assistant accountant
Ahahah kweli kabisa lknHuu wema wa MSHUMAA mimi sina. Yaani nikupe maswali ya oral niliyofanya 17/04 ili wewe uende uyajibu vizuri halafu mimi niachwe wewe uchukuliwe? Dude I'm sorry sina wema huo wa mshumaa wewe nenda kafanye kivyako kama mimi nilivyofanya kivyangu. Msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huu wema wa MSHUMAA mimi sina. Yaani nikupe maswali ya oral niliyofanya 17/04 ili wewe uende uyajibu vizuri halafu mimi niachwe wewe uchukuliwe? Dude I'm sorry sina wema huo wa mshumaa wewe nenda kafanye kivyako kama mimi nilivyofanya kivyangu. Msema kweli mpenzi wa Mungu.