Wakuu kazi ya usalama wa taifa ipoje?

Wakuu kazi ya usalama wa taifa ipoje?

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Poleni sana kwa majukumu wakuu, naombeni kuulza kuhusu kazi ya usalama wa taifa yani ipoje interms of every thing kwa mfano rabda usomee nini ndo uipate n.k
 
ulimboka, mwakyembe, marehem dr mvungi, jeri muro watakua wanajua
 
Mbna mnanijibu hvyo sasa ndugu zanguni,mi hao wa2 niwatolee wap sasa
 
Nakushauri uigooglevutaipata pamoja na sheria ya kuanzishea kwake.majukumu yao na mengine mengi.ningekuwekea link hapa sema nilipo network majanga
 
Poleni sana kwa majukumu wakuu, naombeni kuulza kuhusu kazi ya usalama wa taifa yani ipoje interms of every thing kwa mfano rabda usomee nini ndo uipate n.k

Ndugu yangu usalama wa taifa hausomewi katu, ila kinachofanyika ni kuwa wao huwa wanamchukua mtu ambae watamtumia kwa hiyo kama wanataka daktari watamtafuta daktari, kama wanataka mtu wa darasa la saba watamtafuta, na wala asikudanganye mtu, tena asikudanganye mtu wanataka mtu akiwa kwenye tabia zake asilia na wala si za kuigiza
 
Hii nchi acha tu. Hao TISS ata website tu hawana. Anzia JKT utapata mzee.
 
mmh mi napita tuu habari za kung'olewa meno bila ganzi mi nataka! na sasa mahindi yalivyoshamiri kila kona utabaki unayaangalia tuu meno yameenda na wenyewe
 
Ni rahisi sana. Kazi yao ni kusukumana na watu kwenye ziara za viongozi. Kupora na kutapeli. Kutoa watu macho na kucha. Kuwa wajinga. Na kununua RAV 4
 
Jaman mbna mi cjasema kama ndo naitaka ila nimeulizia ili nijue tu
 
Kila mtu ni mlinzi wa taifa kwahyo sio mpaka uvae kaunda suti,miwani nyeusi na earphone ndio uwe usalama wa taifa,dhana ya ulinzi shirikishi na polisi jamii imekupitia kushoto hata wewe ni usalama wa taifa fichua maovu yatakayoatarisha usalama wa nchi.
 
mmh mi napita tuu habari za kung'olewa meno bila ganzi mi nataka! na sasa mahindi yalivyoshamiri kila kona utabaki unayaangalia tuu meno yameenda na wenyewe

Hahahahaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom