Kwa wasioifahamu BH ni World wide Oil and Gas Service Company.
Inaajiri Field Engineers na Field Specialists kwa wale waliosoma Engineering na Geosciences au course yeyote ya Science ya miaka...
Taarifa NILIYOIFIKIA hivi punde ni kwamba majina ya usaili wa ma_asistance inspector yatatoka kesho. Jiandaeni kuvuna mlichokipanda. Ahsanteni sana.
SITAKI SWALI. WAWEZA UKANIDHIHAKI MAANA NI...
ombi kwenu ,natafuta nafsi ya kufanya kazi kama secretary, iwe ofisi ya serikali au binafsi ,ingewezekana iwe sehemu yoyote katika mikoa ya kusini mwa tanzania Lakni mkoa wowote itakapopatikana...
Wakuu ni matumaini yangu mtakua ni wazima wa afya.
Kwa majina naitwa Faraja Mololo napatikana Dodoma, ombi langu kwenu ni kuomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza akanisaidia niweze pata kazi...
Nina Stashahada ya ualimu,nilihitimu 2010, nina uzoefu wa miaka mitatu. Natafuta kazi ya ualimu katika shule binafsi.
Nitafute kwa ellymmbaga@gmail.com
0683874863
Kama unahitaji Programmer wa kusaidia shughuli zako Nipo hapa , nipo tayari kukusaidia Free of charge kwa condition moja tu! Nitafanya kazi online tu. Sipo tayari kumove kwenye phisical Location.
Kutokana na nafasi nyingi za kazi kuwa wanahitaji mtu mwenye uzoefu,mimi nimeamua kutafuta kazi isiyokuwa na malipo ili nipate huo uzoefu katka fani ya uhasibu kwenye kampuni yeyote.
WANASALIMU WANA JF:
Natafuta DSA (Direct sales Agent) katika maeneo yafuatayo: KATESH NA DISTRICT ZA SINGIDA>
SIFA:
1.Awe ameshafanya kazi ya mauzo(sales)
2.awe anajua kusoma na kuandika
3.jinsi...
Kazi full time na part time. ..
1. Editor
awe anajua editing software
2. Still photographer Anayejua kupiga still Pic. Kutumia camera tofauti tofauti na mazingira tofauti.
3. Videographer...
Wadau naombeni mnisaidie mahali ilipo TPDC Housing estate na jinsi ya kufika huko. Nikimaanisha nipande magari gan maana mm ni mgen hapa jijin na kwa sasa niko Mbagala rangi 3 ndo nilikofikia...
Wadau wa jf naombeni mnijuz kwa ambae anafaham vizur hiyo kampun ya ujenz iliyop uwanja wa wa ndege mwalimu nyerere,kazi zake rasim zinaanza lini,make tumetuma maombi yetu tangu mwezi wa kwanza...
Elimu kidato cha nne,fani secretarial and computer, level two, uzoefu miaka miwili kama PS na Cashier miaka miwili Vodacom branch ya wilayani, kwa sasa niko Dar es Salaam nimejaribu kutuma post...
Habari jamani wana JF, mimi ni msichana nina miaka 27, nipo Dar. Naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote ile, iwe ya kuuza duka, kufagia au usafi maofisini nipo tayari, japo nilisomea...
Mambo vipi wadau,nauliza kama kuna mtu mwenye updates kuhusu hii company post ya trainee customer care representative/administrative assistant..asanteni!
Hivi jamani TANESCO wameshaita watu wa kufanya interview? maana walitangaza kazi majuzi juzi apa mwezi 2 kwenda wa 3 kama sikosei.
Naombeni mnifahamishe
da kama ndokusubilia hii kali jamani mi naulizia kuhusu matokeo ya interview tuliofanyaga kule kurasini vipi kunaanae jua lini watatoa au ndo lilikua changa la macho. plc nijuzen waungwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.